Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 228
Najua huku tunakoelekea "tekelinatujia" kwa haraka sana, sasa Nikon wanatyoa kitu Coolpix S800c, hii camera ina Android OS. na bei yake si haba, mnamo Septemba inategemewa kuwa sokoni si zaidi ya dola za kimarekani 400.
Pamoja na hayo ina GPS, WiFi, Full HD, 10x Wide Zoom, 8fps, na licha ya hivyo kama huna wifi connection, still inaweza kuconnect na smartphone or tablet yenye mobile broadband access. kwa mantiki hiyo, utadownload apps/gamnes na kutumia kwenye kamera kama kawaida.
1.4 GB internal memory, na slot ya SD card.
Nawasilisha!