Andrew Nyerere on Mwalimu humble children!

Kama nimesoma tangu mwanzo napata picha kwamba kinachowatokea Andrew na John ni matokeo ya kuitumikia Nchi yao kwa uaminifu.

Najua kuna wataalam hapa wanaweza kutuhabarisha madhara yanayowapata wanajeshi waliopigana au kupiganisha vita. Ile milipuko na hasa matokeo ya milipuko dhidi ya target huwa ni mojawapo ya impact tosha kwa akili ya mlipuaji kufyatuka kiaina. Kwa kuwa hapa kwetu hakuna teknolojia au hata namna ya kuwatunza hawa watu wanaoathirika vitani, basi inaishia kuwatolea mifano ya regime iliyoshindwa.

Wanaonyoosha vidole kwa wengine tukipewa nafasi ya kuwafehem utakuta wametoka ktk familia za kibongo (extended) ambazo kila mmoja amechomokea mlango wake na sana sana hawana maadili wanayoyahubiri humu.

Nipo proudly kutangaza matokeo ya utafiti nilioufanya kuwa katika kila watanzania 10 utakuta watu 9 ni mafisadi au washawahi kushiriki matendo ya kifisadi yakiwemo rushwa.

Anayepinga anyooshe kidole juu.
 
anayepinga anyooshe kidole juu.

Watoto wa Nyerere wameruhusiwa vipi kuingia air force wakati wana historia ya kuwa lunatics?

Unamchukua lunatic unamuweka kwenye mizinga na midege ya vita unategemea nini kitatokea kama siyo kummaliza kabisa kisaikolojia?

I am using the term lunatic in its medical dimension and not as a derogative one.
 
Hivyo huyo John na Andrew wana familia zao ( mke na watoto)? Im just curious bcoz kama wanazo inakuwaje wamerudi kwa wazazi ilahali wao ni watoto wa kiume?
 
Watoto wa Nyerere wameruhusiwa vipi kuingia air force wakati wana historia ya kuwa lunatics?

Unamchukua lunatic unamuweka kwenye mizinga na midege ya vita unategemea nini kitatokea kama siyo kummaliza kabisa kisaikolojia?

I am using the term lunatic in its medical dimension and not as a derogative one.

..ya unasema ni lunatic ambao hawaku miss target wakarusha mizinga sokoni au stendi ya basi wakadondosha bumu ...kwa ndege..kaaz kweli kweli!!!

....tembelea pale lugalo na wengine wapo vijijini ukawaone askari ambao hadi leo wanatembelea wheel chairs .......kutokana na madhara ya medani...

women..maisha ni duara...nadhani bila shaka kijana mtanashati ,msomi tena pilot miaka ya 70"s....ambaye hakuwa na matatizo ..atakuwa waliopoa vifaa vya nguvu ,wakaowa na kuzaa watoto........,kwa waafrika ni aibu kwa mwanamke kuzeekea nyumbani...lakini kwa mtoto wa kiume mazingira yakimruhusu au kumlazimisha kuolea na kuzeekea kwenye moja ya mji wa mzee wake ..hiyo ni ruksa....yupo kwake!!!!

hawa wanao watoto ....nadhani wako vizuri tu ..wanasoma ndani na nje ya nchi!!!..sina taarifa kamili juu ya hili...labda FMES anaweza kusaidia details hapo!
 
Naelewa kwamba kuna sentimenatlism kumhusu Nyerere zinazotufanya wengine kufumbia macho ukweli.

Definition ya lunatic ni mtu ambaye akili zake ziko affected na phases za mwezi, anaweza kuwa na epilepsy like attacks au periodic mental problems, the Nyereres have this problem -anybody who knows anybody close to the Nyerers will tell you this-

Kuwa a precision target jet fighter pilot -in fact kuwa na highly precise skill yeyote - haku disprove kwamba wewe ni lunatic na una matatizo ya akili kwa sababu apart from the periodic attacks, unaweza kuwa mtu brilliant tu. Nyerere mwenyewe ni proof ya hili. Actually kuna wanasaikolojia wanaosema there is a thin line between genius and lunacy, kitu ambacho kinaweza ku point kwamba the Nyerer's had a blessing and a curse, the blessing being that they were /are naturally gifted with intelligence, the curse being that intelligence is bordelline madness due to their genetic lunacy.

Swala langu ni kwamba, huko TZ Air Force hakuna medical history checks? Au walidanganya? Au walitumia influence ya baba yao kuhakikisha mambo haya hayawazuii kuingia air force?

Ikiwa walipita bila kufuata process huo nao si ufisadi wa aina yake?

Unless unabisha the Nyereres are do not have a history of mental illness - which would confirm that apart from what is publicly available you do not know much about them- huwezi kubisha kwamba it is strange kwamba familia ya watu wenye historia ya matatizo ya akili wameruhusiwa kuwa na watu in the air force commandeering jets.
 
Naelewa kwamba kuna sentimenatlism kumhusu Nyerere zinazotufanya wengine kufumbia macho ukweli.

Definition ya lunatic ni mtu ambaye akili zake ziko affected na phases za mwezi, anaweza kuwa na epilepsy like attacks au periodic mental problems, the Nyereres have this problem -anybody who knows anybody close to the Nyerers will tell you this-

Kwa tafsiri yako hii, je wewe ni lunatic?
 
Mie Battlestar Gallact, Cosmic Abstract....

Anayeuliza swali kama mtu ni lunatic bila ya kuwa na sababu anaonyesha tendencies za lunacy kuliko anayeuliziwa.Lunatic kwa kawaida yuko delusional na hana uwezo wa kushinda denial ya kwamba yeye ni lunatic, kwa hiyo kumuuliza mtu kama ni lunatic is the perfect catch 22 sign of lunacy on the questioner.

Nimesema kuhusu sentimentalism kuhusu Nyerere, sasa zinajionyesha.

By the way the maestro Vincent Van Gogh was a lunatic genius, just to give an example.
 
Mie Battlestar Gallact, Cosmic Abstract....

Anayeuliza swali kama mtu ni lunatic bila ya kuwa na sababu anaonyesha tendencies za lunacy kuliko anayeuliziwa.

NO, Anayedhani anajua tendencies za lunacy kuliko inavyodhihirika kwa watu wengine ndiye mwenye kuzifunua hizo tendecies (zake) zaidi ya obvious.

Nimesema kuhusu sentimentalism kuhusu Nyerere, sasa zinajionyesha.

Hapa zaidi ni decimentalism kuhusu Nyerere inayojionyesha kwako na kwenye maandishi yako. Soma maandishi yako vizuri. Uko kwenye forum inayosomwa na wengi mkuu.
 
NO, Anayedhani anajua tendencies za lunacy kuliko inavyodhihirika kwa watu wengine ndiye mwenye kuzifunua hizo tendecies (zake) zaidi ya obvious.

Hapa zaidi ni decimentalism kuhusu Nyerere inayojionyesha kwako na kwenye maandishi yako. Soma maandishi yako vizuri. Uko kwenye forum inayosomwa na wengi mkuu.

Sasa unakataa kwamba wakina Nyerere hawana lunacy?
 
Hiyo ni allegation ambayo umeitoa wewe, unaweza kujibu swali lako vyema kuliko mwingine yoyote yule.

Which means kwamba wewe hujui, na kama hujui na huna point ya kubishia huna haki ya kubisha.

Siyo unasema sema tu kwa kuwa wewe "mwafrika" na una mapenzi na Nyerere.

Nyerer kachemsha kwenye familia na ndiyo maana watoto wake wamebaki wanagongea mia mbili, wanashindwa hata kupata nauli ya dala dala .Ukichanganya na medical history ya familia ndiye wamebaki kama zombies of their former selves.

Na huyu Nyerere ndiyo kawafundisha wazee wengi wa kibongo hii nidhamu ya woga, watu wanathamini kazi kuliko familia, kazi yenyewe wanaharibu, familia wanaharibu, wanabakia na the worst of both worlds.

Yaani Nyerere ashukuru sana mirais iliyomfuata yote mijinga mijinga ndiyo maana anaonekana genius, lakini angekuja mtu mwenye economic acumen akafanya vitu tungemuona Nyerere in his true light, an economic failure.

About the only thing Nyerere did ni kutuweka pamoja kama nchi, given the docile nature of our people and natural coherence hata mjinga mjionga yeyote yule angeweza kufanya hivyo.The real test was economics, ambako ali fail.
 
Afu unategemea Jasusi akupe tano (Thanks).
 
Which means kwamba wewe hujui, na kama hujui na huna point ya kubishia huna haki ya kubisha.

Inaonekana unajidhania kuwa unajua mambo mengi sana. Tayari umefikia conclusion kuwa sijui na hivyo sina haki ya "kubisha". Bado hujaweka wazi kile "kinachobishiwa" na yet unatangaza kuwa "anayebishana nawe" hana haki ya "kubisha"?

Siyo unasema sema tu kwa kuwa wewe "mwafrika" na una mapenzi na Nyerere.

Kama vile ambayo wewe hutakiwi kusema kwa vile "huna mapenzi" na Nyerere. Kazi kwelikweli.

Nyerer kachemsha kwenye familia na ndiyo maana watoto wake wamebaki wanagongea mia mbili, wanashindwa hata kupata nauli ya dala dala .Ukichanganya na medical history ya familia ndiye wamebaki kama zombies of their former selves.

Huu ni mtizamo na maoni yako. Una haki ya kuwa na mtizamo huu bila ya kuitwa zombie of your (fix up anything)... au sio?

Na huyu Nyerere ndiyo kawafundisha wazee wengi wa kibongo hii nidhamu ya woga, watu wanathamini kazi kuliko familia, kazi yenyewe wanaharibu, familia wanaharibu, wanabakia na the worst of both worlds.

Kama Nyerere kafanya yote haya, basi inaonekana alikuwa na uwezo wa juu sana. SIo rahisi kufundisha wazee wengi wa kibongo kufanya haya yote kama huna special powers ..... yet bado haya ni maneno yako wewe ambaye sio tu sio zombie bali ni ......(jaza neno lolote hapa).... ..... wa Nyerere.

Yaani Nyerere ashukuru sana mirais iliyomfuata yote mijinga mijinga ndiyo maana anaonekana genius, lakini angekuja mtu mwenye economic acumen akafanya vitu tungemuona Nyerere in his true light, an economic failure.

Talking about tendecies.....

About the only thing Nyerere did ni kutuweka pamoja kama nchi, given the docile nature of our people and natural coherence hata mjinga mjionga yeyote yule angeweza kufanya hivyo.The real test was economics, ambako ali fail.

More of the same....
 
..........Mungu kampenda nyerere kumpa watoto.......unaongelea zombies wakati kuna watu wanatafuta hata wazae watoto wenye mtindio wa ubongo waitwe watoto wao wewe unaponda familia ya mtu....kila familia ina matatizo yake ...ikiwemo familia yenu...

mobutu aliacha watoto wwenye mapesa na fame....na walikuwa wanajeshi kama watoto wa mwalimu......lakini na pesa zao zote leo wengi wao wamekufa kwa maradhi ...kina capt .kongolo mobuto..aka...saddam hussein.....

anayemponda mwalimu atakuwa ni mtoto wa juzi asiyesoma historia..hakika!
 
Inaonekana unajidhania kuwa unajua mambo mengi sana. Tayari umefikia conclusion kuwa sijui na hivyo sina haki ya "kubisha". Bado hujaweka wazi kile "kinachobishiwa" na yet unatangaza kuwa "anayebishana nawe" hana haki ya "kubisha"?

Sijasema najua mambo mengi sana, wewe unasema mimi nadhani, kwa wewe kujua mimi ninachodhani inaonyesha wewe ndiye unajidhania unajua mengi.

Hujaweka unachojua hapa, na ulipoulizwa umekimbia kujibu, kwa hiyo siwezi kulaumiwa kwa kufikiri kwamba hujui. Hakuna kuweka wazi kinachobishiwa zaidi ya a one line question, kama hukuona hilo au unataka ku obfuscate tu kuna reveal mengi kuhusu wewe kuliko hata mambo tunayozungumza.

Kama vile ambayo wewe hutakiwi kusema kwa vile "huna mapenzi" na Nyerere. Kazi kwelikweli.

Asiye na mapenzi ndiye anayetakiwa kusema, maoenzi yanaharibu objectivity yako.Kwa hiyo mimi kukosa mapenzi ndiyo qualification yangu.Wewe ukija na passion hatutajua kwamba unaongea objectively au unakuwa driven na passion yako tu.

Huu ni mtizamo na maoni yako. Una haki ya kuwa na mtizamo huu bila ya kuitwa zombie of your (fix up anything)... au sio?

Na pia nina haki ya kutoambiwa kuwa kuwa huu ni mtazamo wangu na nina haki ya kuwa na mtizamo huu bila ya kuitwa zombie of my (fix up anything).... au siyo?

Matusi ya reja reja nayatambua, kama unataka kutukana tukana live tu.

Kama Nyerere kafanya yote haya, basi inaonekana alikuwa na uwezo wa juu sana. SIo rahisi kufundisha wazee wengi wa kibongo kufanya haya yote kama huna special powers ..... yet bado haya ni maneno yako wewe ambaye sio tu sio zombie bali ni ......(jaza neno lolote hapa).... ..... wa Nyerere.

Obviously hujui kusoma au mzembe wa kuchambua.

Talking about tendecies.....

And talking about talking about tendencies

More of the same....

Is the reason you are what you are.

I bring that painful but needed pill to... guess what?

More of the same chorus of Nyerere praises....

More of the same non critical thinking and licentious passes to certain families...

Now who represents more of the same?
 
..........Mungu kampenda nyerere kumpa watoto.......unaongelea zombies wakati kuna watu wanatafuta hata wazae watoto wenye mtindio wa ubongo waitwe watoto wao wewe unaponda familia ya mtu....kila familia ina matatizo yake ...ikiwemo familia yenu...

mobutu aliacha watoto wwenye mapesa na fame....na walikuwa wanajeshi kama watoto wa mwalimu......lakini na pesa zao zote leo wengi wao wamekufa kwa maradhi ...kina capt .kongolo mobuto..aka...saddam hussein.....

anayemponda mwalimu atakuwa ni mtoto wa juzi asiyesoma historia..hakika!

Sawa mimi mtoto wa juzi sijasoma historia

Wewe unajua historia ya ukandamizi ya Nyerere? Alivyokataa kubadili sheria ya kikoloni ya indefinite detention? Sheria ambayo mkoloni aliitumia against yeye mwenyewe Nyerere enzi hizo za "Baba Kabwela" wa TANU kabla ya uhuru?

Mkandamizi huyu aliyekataa vyama vingi kibeberu na kukipiga marufuku ANC?

Mkandamizi huyu aliyetumia sheria za kikoloni kuhakikisha wananchi wake hawamkosei ndiye unataka tumsujudu?

Mkandamizi huyu aliyeleta ukabila jeshini kwa kuwajaza watu wake? Na kuwapendelea watoto wake waingie Air Force licha ya kuwa na matatizo ya akili?

Mkandamizi huyu aliye violate internationally recognized human rights charters kwa kuwang'oa kwa nguvu watu kutoka vijiji vyao vya asili?

Huyu mkandamizi ndiye tumsujudie? Kisa nini sana sana? kutuweka pamoja kwa mjeledi? Kutufungasha na Zanzibar bila kutuuliza hatimaye kila siku kelele haziishi? Huyu Nyerere ndiye huyu huyu anayesifiwa au kuna mwingine kivuli chake?
 
oooh nishajuwa tatizo lako ...si kosa lako!!!

alafu..huyo mzee zubeir mtemvu mwazilishi wa ANC ....Mwanaye amekubali kusettle kwa nafasi ya ukuu wa wilaya na ubunge....
 
Back
Top Bottom