Dilunga
JF-Expert Member
- Apr 8, 2009
- 679
- 49
Hivi ni kweli kwamba familia ya Nyerere ina aina fulani ya kichaa/ ugonjwa wa akili?
...Nilikutana na Andrew wakati akitaka kutafsiri kazi za wa-buddhist, jamaa ni bonge la low key.Alikuwa anapotelea South Africa, akilosti anaenda ubalozini wana m-bailout.
Kama wanaenda ubalozini kuomba bail out basi hawa sio "watu wa kawaida."
Na ni kweli familia ya Nyerere kuna wagonjwa wa akili. John, mtoto wake wa nne siku zote alikuwa anafungiwa ndani Msasani, maisha yake yote.
Utaona maelezo ya Andrew kaulizwa ndugu zako wako wapi na wanafanya nini, akazungusha zungusha. Wengine kawaruka hajataja hata wako wapi, kama Makongoro, hajamuelezea chochote. Na John, kasema yuko Msasani, yuko msasani anafanya nini, anaishi na Mama Maria mpaka leo?
Ni kweli kulikuwa kuna ugonjwa wa akili ndani ya familia ya Nyerere.