ANDREW CHENGE Kumbe ni WAZIRI!

Meitinyiku L. Robinson

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
412
90
Heshma kwenu wakuu;

Nilikuwa napitapita mtandaoni nikakutana na hii kitu inaitwa "Chiefs of State and Cabinet Members of Foreign Governments" and was updated on 23, Aug 2011. Sasa hii Wizara anayoiongoza Chenge ndo imenishtua kiduchu.......


Chiefs of State and Cabinet Members of Foreign Governments

Date of Information: 8/12/2011

Chanzo: https://www.cia.gov/library/publications/world-leaders-1/world-leaders-t/tanzania.html

Pres.Jakaya Mrisho KIKWETE
Vice Pres.Mohamed Gharib BILAL, Dr.
Prime Min.Mizengo Kayanza Peter PINDA
Pres. of ZanzibarAli Mohamed SHEIN, Dr.
Min. for Agriculture, Food Security, & CooperativesJumanne Abdallah MAGHEMBE
Min. for Communication, Science, & TechnologyMakame Mnyaa MBARAWA
Min. for Community Development, Gender, & ChildrenSofia Mnyambi SIMBA
Min. for Defense & National ServiceHussein Ali MWINYI
Min. for East Africa Cooperation AffairsSamwel John SITTA
Min. for Education & Vocational TrainingShukuru Jumanne KAWAMBWA
Min. for Energy & Mineral ResourcesWilliam NGELEJA
Min. for Finance & Economic AffairsMustapha Hadi MKULO
Min. for Foreign Affairs & Intl. CooperationBernard Kamillius MEMBE
Min. for Health & Social WelfareHadji Hussein MPONDA, Dr.
Min. for Home AffairsShamsi Vuai NAHODHA
Min. for Industry, Trade, & MarketingCyril CHAMI
Min. for Information, Youth, Culture, & SportsEmmanuel John NCHIMBI
Min. for Infrastructure DevelopmentAndrew John CHENGE
Min. for Justice & Constitutional AffairsCelina Ompeshi KOMBANI
Min. for Labor & EmploymentGaudensia Mugosi KABAKA
Min. for Lands & Human Settlements DevelopmentAnna TIBAIJUKA
Min. for Livestock & FisheriesMathayo David MATHAYO
Min. for Natural Resources & TourismEzekiel Magolyo MAIGE
Min. for TransportOmari Rashid NUNDU
Min. for WaterMark James MWANDOSYA
Min. for WorksJohn Pombe Joseph MAGUFULI
Min. of State for Good Governance, Pres.'s OfficeMathias Meinrad CHIKAWE
Min. of State for Public Service Management, Pres.'s OfficeHawa Abdulrahman GHASIA
Min. of State for Social Relations & Coordination, Pres.'s OfficeStephen Masatu WASSIRA
Min. of State for Environment, Vice Pres.'s OfficeTerezya HOVIZA
Min. of State for Union Affairs, Vice Pres.'s OfficeSamia SULUHU
Min. of State for Investment & Empowerment, Prime Min.'s OfficeMary Michael NAGU
Min. of State for Policy, Coordination, & Parliamentary Affairs, Prime Min.'s OfficeWilliam LUKUVI
Min. of State for Regional Admin. & Local Govt., Prime Min.'s OfficeGeorge MKUCHIKA
Attorney Gen.Frederick WEREMA
Governor, Central BankBenno NDULU
Ambassador to the USMwanaidi Sinare MAAJAR
Permanent Representative to the UN, New YorkOmbeni Yohana SEFUE
 
Wamekosea hao iyo wizara nakumbuka ilivunjwa na kupewa akina Nundu upande mmoja na Pombe upande mwingine
 
Wizara iliyojificha! ufisadi mwingine huo, Lol! Tuwekee na hiyo website mkuu tujiridhishe tu, japo hii kitu inaweza kuwa kweli.
 
Nadhani tatizo la msingi hapa ni weledi wa kujua kazi hasa ya website ni nini. Ukienda katika website nyingi za Wizara na hata Institutions na Authority nyingine zilizochini ya Serikali, utayakuta hayohayo. Sasa hawa wa PR officers sijui nani anayewafanyie perfomance appraisal zao. Viti vingine kwa kweli ni aibu huko Serikalini.
 
It is an OLD OLD POST even check the Ambassador to the UN the post is OPEN

Sorry, you read out dated materials... be careful internet has a lot of Information...

CHAKACHUA KABLA YA KUWEKA HUMU!!!




U need to C
 
It is an OLD OLD POST even check the Ambassador to the UN the post is OPEN

Sorry, you read out dated materials... be careful internet has a lot of Information...

CHAKACHUA KABLA YA KUWEKA HUMU!!!




U need to C

Nafkiri kabla hukuandika haya ungesoma alichoandika huyo member juu yako "We know next" at lst ungepata cha kusema,, huwezi mfananisha Sefue aliyeondoka mwaka jana 2011 na Chenge aliyeondoka takriban miaka zaidi ya Minne iliyopita na wahusika wanasema website imekuwa updated Aug 2011......
 
Back
Top Bottom