ANDREW CHENGE anafaa kuteuliwa kuwa balozi

Fareed

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
328
135
RAIS Jakaya Kikwete wiki hii amefanya uteuzi wa mabalozi kwenye key stations ambazo kuna diplomats wa Tanzania abroad. Mimi ninavyoona, this was a missed opportunity kwa Rais kufanya maamuzi magumu ambayo yamemshinda kwa muda mrefu sasa. Rais angetumia fursa hii kuondoa watu wanaovuruga nchi na kuleta chokochoko ndani ya CCM mpaka kuyumbisha umoja wa chama na utulivu wa taifa letu. Kwa vile Kikwete anawaonea aibu marafiki zake kwa kushindwa kabisa kuwashitaki mahakamani kwa tuhuma nzito za ufisadi au kuwafukuza uanachama wa CCM, basi ni bora angefanya uteuzi ufuatao wa mabalozi:


1. Rostam Aziz, Balozi wa Kudumu wa Tanzania nchini Iran (ili arudi nyumbani kwao)

2. Nazir Karamagi special envoy wa Tanzania in Hong Kong (ili afuatilie kwa karibu maslahi ya TICTS)

3. Andrew Chenge special envoy wa Tanzania in Jersey island (ili achunge vizuri vijisenti kwenye offshore bank accounts zake)

4. Edward Lowassa, balozi wa Tanzania nchini Marekani (ili akatafute uthibitisho Texas kuwa Richmond si kampuni ya kitapeli na yeye hakuingiza nchi mkenge kwa kuipa tenda ya kuzalisha umeme)
 
Ha ha!wabongo shida yetu tunapenda sana miujiza,si wabongo tu,nadhani ni tatizo la waafrika...Hata ukicukulia world cup,utaona the same thing...Miracles expectation...Tizama nchi kama ufaransa na wachezaji wenye vipaji vya hal ya juu ambao ni masupastaa uko ulaya,lakini captain wao alisema wazi kabisa kuwa hawategemei miujiza,Patrice Evra aliweka wazi kabisa,sasa sisi ni miujiza tu,yote haya ni miracles expectation,kama mnaona hamuwawezi jiungeni nao...Teh teh teh!
 
Back
Top Bottom