Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 82,108
- 158,955
Thubutuuuu!!!Haya, tukumbukane kwenye mgao wazazi wa pande zote.
Thubutuuuu!!!Haya, tukumbukane kwenye mgao wazazi wa pande zote.
He he he he huo ukuda umeanza lini? Niache little angel wa mtuBasi ngoja tusubirie majibu hapa, make huyu jamaa namwona kama anamaanisha.
Halafu thread kama imesizi ukute wako PM kwa sasa.
cc Heaven Sent.
Haha utavunjwa hiyo milonjo, pokea tu hela za watuMuache binti yangu, tupo busy tunajadiliana mahari.
Haha nina balaa na nshomiles khaaSasa nifanyeje na Benny aliishia tu na vile vitisho vyake vya nitafute sijui parking, wameishia kulala mbwa tu.
Mtoto hana adabu yule.
Sijui unawatoaga wapi dota, kuna siku tawatimua we ngoja tu.Haha nina balaa na nshomiles khaa
Kwa kweli nina nyota tu na nshomiles. yule wa scrub sijui yuko wapi tehSijui unawatoaga wapi dota, kuna siku tawatimua we ngoja tu.
Kwa kweli nina nyota tu na nshomiles. yule wa scrub sijui yuko wapi teh
Mtu kavunja ukimya na kutangaza nia bado hujamuelewa tu? tena mpaka avatar yako imekuwa yake muonee imani mwanaume mwenzetu.He he he em jitulize tu huko. Bado nipo nipo
Unamuaminia nimeona bandiko lako moja unajipanga kwa kwaito ya nguvu so ushaanza mazoezi?bro tag me there please my binamu hakoseagi huyuu!
mi sina haja ya mazoezi Niko vzr kwenye hiyo kitu!Unamuaminia nimeona bandiko lako moja unajipanga kwa kwaito ya nguvu so ushaanza mazoezi?
Ok yaani kama baiskeli ukiisha jua kuendesha ndio umejua? kwema lakini dada yangu kipenzi?mi sina haja ya mazoezi Niko vzr kwenye hiyo kitu!
yap yap..Ok yaani kama baiskeli ukiisha jua kuendesha ndio umejua? kwema lakini dada yangu kipenzi?
Tupo vizuri tunashukuru mola naona pamepambazuka salama kila la kheri dadayap yap..
kwema sana nashukuru sijui weye wajionaje na hali?!!
asante kaka...Tupo vizuri tunashukuru mola naona pamepambazuka salama kila la kheri dada
Ndio maana mashoga na madume jike mengi sasa kila mtu anatamani jinsia ya mwenzake.Humu kuna wanaume wanajidai wanawake na
wanawake wanajidai wanaume.
So, Never take JF serious,
Haha hadi sasa hivi nishapata hela ya birthday, Christmas na mwaka mpya teh
Nikajua mshayajenga pm, nasubiri tu kagari kamoja. Au ndi zile zileee za ahadi hewa.
Nimuonee Imani au nimpende tu kabisa?Mtu kavunja ukimya na kutangaza nia bado hujamuelewa tu? tena mpaka avatar yako imekuwa yake muonee imani mwanaume mwenzetu.