Mhhh...ndio maana wazungu wanaleta misaada na some string attached to it.
String moja imeshatubana kutokana kimya cha consent cha maaskofu kuhusiana na sensa. Sensa wanayoidhamini wameimeipenyezea kwenye mradi walioupa jina la "Millenium Development Goals" na wametuminyia kwamba ni lazima tuondoshe kipengele cha dini, yaaani "who give a damn about religions". Sensa ni social profilling, na waTanzania katika profile yetu "hatuna dini" yaani sooooooote ni mapagani. Na maaskofu wetu hawasemi hata fyoko, labda waislamu tu.
Tuna mihimili gani tena ya kimaadili ya kutulindia jamii zetu. Muhimili mmoja ndio unaondoka huo mwezi kesho. Muhimili wa pili ni sheria zetu zinazopitishwa bungeni na wanasiasa wetu hawa, sherehe za uhuru 27 bilioni (I mean bi, bi, bilioni), kujiongezea malipo na marupurupu wenyewe bila ya kiasi, lakini kuwalipa madaktari, pesa hakuna. Watasimama hawa kweli???
Muhimili wa tatu ni mila na desturi zetu. Kwakuwa dini ndio imeshaondoka, ina maana mila na desturi zetu za kibantu na kikabila, yaani tumeshajigawa wenyeweeeee tayaaaaaasaari ili tutawaliwe kama mababu zetu.
Waislamu wakinyanyua tu midomo basi ni sisi wenyewe hasa ndugu zetu wa imani ya kikristo, ndio wao hushirikiana na hawa mahabithi wanatuenezea mambo haya ya sodoma na gomora kuwaita waislamu magaidi, lo!!! salaaaaaaale tumekwisha sie.
Sisemi kwa kutabiri wala kwa kupenda lakini hili balaa/bomu sijui kama halichemkiii chini ya miguu yetu hivi sasa, kinyume na hivyo basi yasingetokea haya matayarisho yanayofanywa na wanasiasa wetu (kwa kuruhusu kuondosha kipengele cha dini ambacho ni mlinzi wetu wa kimaadili) wakishirikiana na maaskofu wetu(kwa kuipa thumbs up kwa kimya cha kukubali).
Ni muhimili gani wa kimaadili utakaotuokoa hapa, let us check kwa hawa wanaitangaziwa kuwa ni wakorofi, ni wakorofi kweli kama wanavyotangaziwa au ni fitina tu.