Video na picha: Waafrika weusi tii walioishi India miaka elfu 60

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,677
28,996
Habari za Wikendi wanaJamvi.

Bado inawaumiza vichwa sana wana Historia na wanaanthropolojia hawa watu walifikaje India kwenye visiwa vya Andaman na Nicobar? Nadharia tofauti zinadai hawa watu wa kabila linaloitwa Jarawa walisafiri kutoka Africa Mashariki Kwa mitumbwi miaka elfu 60 iliyopita na wala hawakuwa watumwa walifika pekee Yao.

Vasco da Gama kawaelezea Kwa uchache kweli walipojaribu kuweka nanga visiwani humo Karne ya 15 akielekea Goa India walikabiliwa na upinzani mkali Kwa kurushiwa mishale ikabidi waondoke.

Sasa hivi idadi Yao imeshuka wamebaki 450 tu. Serikali ya India imeamua kuwaacha waishi wanavyopenda bila bughudha na kutoruhusu watalii wowote hasa kutoka magharib ambao wanausongo sana kuwatembelea ndugu zetu hao India Kwa sabab kinga za mwilini mwao ni dhaifu na wakipata maambikiz kama magonjwa ya Surua itawafyeka.

Kuna wahindi walikuwa wanawaingiza watalii wazungu kinyemela visiwani humo nyakati za usiku ila wamekamatwana serikali ya India nakuchukuliwa hatua kali.

Mwaka huu binti wakabila hili la Jarawa alizaa mtoto chotara ikabidi wazee wanaume wa kabila hili wakizamishe baharin. Msemaji wa serikali ya India alisema hawez kuingilia mambo ya hao watu wamewaacha wajitawale wenyewe.

Vyakula wanavyokula ni mizizi, nguruwe pori, samaki na madafu sana sana.

Very interesting
 
imagesJK1AFVIM.jpg
 
Haya sasa walifikaje huko kama hawakuwa na idea ya navigation?
Come on now, monsoon winds, historia darasa la tano.

Mtumbwi ulikuwa unavua samaki Africa ukapotea baharini kuibukia India. Hawakuhitaji Global Positioning System navigation.

The greatest of far-out explorers in history, Bathlomeo Diaz, Henry the Navigator, Vasco Da Gama, Ibn Battuta, Marco Polo, Christopher Columbus they all made discoveries by chance and stumbling, far from geoscience precision.

Red Indians wa Marekani wanaitwa Indians leo kwa sababu Christopher Columbus alidhani kafika India. Kumbe bana wale sio wahindi.

Vasco Da Gama, akielekea India kutafuta black pepper, aliingia chaka akajikuta yuko Kariakoo.

You did not need high tech navigation to conquer world frontiers.
 
Back
Top Bottom