And the winner is............................ ........

Aaaah..! si nilimkuta amelewa anakata mauno mbele ya watoto nikamkataza nikamwambia Kaizer ata mind ndo akasema eti nimemdhalilisha...

hivi mwenyekiti, ni lini utatufungisha ndoa mimi na Heaven on earth? au unataka hadi tuzae mtoto wa nje ya ndoa?. sio vizuri kutubania kiasi hiki. hadi watoto wadogo wa nyuma yetu wanaoana wanatuacha tukihangaika. kama hutaki useme tufunge ndoa ya bomani. mia
 
Last edited by a moderator:
Miss philipineeeeeee

Anatoka kwa wafilipi! Lol

Ofcourse!

Mwiguluuuuuuu.........!!!

Oohooo! Nini tena Baba V

hivi huyu marejesho kapewa mimba na Filipo mbona haonekani?. mia

Yaaah! Nilimpa mimba tulipokuwa Tanga!

ekeni pichaz plz......

Angalia avatar yake

Unataka kupalilia ndo yako kupitia vidole vyetu. haya jilie kwa ulaini.

Habari ndio hiyo!

Nimeshamweleza na sasa marejesho yupo bedrest!

nani ameshinda...? ameshinda nini ?

Ameshinda ulumbwende wa ulimwengu huu!

Nimeshindaaaaaaaaaaaaaaa

Kwani wewe ni mfilipi!

Miss Filipo....ooops Miss Filipino....aaah Miss World is from Filipo of Filipino

Ndio maana nakupenda sister! unaelewa haraka!
 
Last edited by a moderator:
hivi mwenyekiti, ni lini utatufungisha ndoa mimi na Heaven on earth? au unataka hadi tuzae mtoto wa nje ya ndoa?. sio vizuri kutubania kiasi hiki. hadi watoto wadogo wa nyuma yetu wanaoana wanatuacha tukihangaika. kama hutaki useme tufunge ndoa ya bomani. mia

babe figganigga Morning..........file letu si ulishampelekea au bado.....mwishowe litapata vumbi tu
 
Last edited by a moderator:
hivi mwenyekiti, ni lini utatufungisha ndoa mimi na Heaven on earth? au unataka hadi tuzae mtoto wa nje ya ndoa?. sio vizuri kutubania kiasi hiki. hadi watoto wadogo wa nyuma yetu wanaoana wanatuacha tukihangaika. kama hutaki useme tufunge ndoa ya bomani. mia

Kama kumbukumbu zangu zinanitendea haki nakumbuka wewe mwenyewe ulinambia mnajipanga then mtanambia, na mimi nilikuwa nasubiri kauli yenu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom