Ancient Footprints discovered in Tanzania

..i doubt whether these footprints will date back in the ages of zinjanthropus....perhaps they should also try the DNA traces in these footprints...something i think won't work either..as there is already too much of DNA contamination in these footprints....anyway...good try!....
 
If they want to brainwash us they won't stop, they have alternative.
 
Tumelala mno,hata kutangaza tu hii kwenye TV haikufanyika!ila ngoja litolewe tamko lisilo na miguu litapaishwa hatari!wakenya wachangamkie fursa hiyo
 
Napata utata wa nafasi ya Mungu katika Uumbaji ...!!

Sayansi imejiweka thabit kuonyesha usahihi wa uumbaji,

Japo ....!!
Ukitaka kuelewa mambo ya evolution lazima ukubali kuna vitu hujui..... halafu utofautishe vitu vinavyoonekana na visivyo onekana kwa macho. Evolution haiangaliwi kwa binadamu tu nikwa wanyama wote
 
Kuna anaweza kukanyaga

Swali jengine hivyo viumbe vilivyogunduliwa nyayo zao walikuwa hawana hisia,namaanisha hawakuogopa kuungua na volcanic lava?
Kitu utakacho kisikia kwa Mzungu huwezi au hakiwezi kupingwa ndio tumeaminishwa hivyo...

Kwani huwezi wewe kukanyaga tope la volcano iliyopoa poa hata kama utaenda kufia mbele nyanyo lazima zibakie tu... sioni la ajabu kwako kushangaa... mkuu
 
Hapo Kuna kitu cjaelewa .hiyo miguu walikuwa wanajaribu kuifuatisha ilikuwa size moja na yakwao au ilkuwa mikubwa.maana inaonekana kama ilkuwa almost inafit sasa itawezekanaje natunajua binadam wa zaman walkuwa wakubwa Kimaumbo kulko binadam wa sasa
 
Kwahiyo wanasayansi wanataka kutuaminisha kwamba hayo madubwana ya kale yalikuwa yana uwezo wa kutembea juu ya ujiuji wa volkano bila kuungua?
Kuna sehemu umesoma au umeona sehemu wameandika kuwa waliopita hizo sehemu na kuacha alama za nyayo waliungua? au unawalisha Maneno yako ya mdomoni? be careful mkuu unapotoa maoni yako yawekee basi Nyama maana mtoto wa primary ndio wanakuwa na maswali ya aina yako...!:mad:
 
u post: 18081338 said:
Moja kati ya swali zuri sana, mi huwa naangaliga tu, ipo siku watagundua kwamba hao viumbe walikuwa erupted pamoja na hiyo volcano, ila tuwaache tu waendelee kufanya excavations tanzanite ikiisha wataondoka wenyewe,

Ujinga ni mzigo
They were were walking over muddy surface inawezekana walikuwa wanakimbia bahati mbaya volcano ikawakuta wakafa?footprint ikabaki

Kweli ujinga ni
 
Scientific fact is that man evolution spearheaded in east Africa because of her complex harsh terrain, earlier hominids had to walk upright to watch there enemies and to scavenge for food
 
Mi siamini

Pole sana mkuu ungesoma tu upate ukweli mifupa ya dinasour imepatikana tena dunia nzima hats Tanzania. From65 to400million years ago
Mind u mfupa umeundwa na madini kama ilivo dhahabu ,almasi tanzanite au quarts so they can last for hundreds of millions of years
 
si
01-Worlds-Oldest-Footprints-Engare-sero.ngsversion.1476115208177.adapt.885.1.jpg

Mudflats in the shadow of the Ol Doinyo Lengai volcano captured a huge trove of ancient human footprints.
oni alama ya vidole vya miguu, huenda inamaanisha kuwa waliweza kutembea kwenye volkano inayopoa baada ya kulipuka kwa kutumia kitu maalum, kilichoweza kuvumilia Volkano na kisiungue au kuyayuka. wanamiamba wanaweza kutuambia vitu vichache vinavyoweza kuvumilia Volkano, ambavyo huenda mwanadamu wa kale (Kwa teknolojia ya miaka hiyo) angeweza kutumia.
ama laa, huenda zikawa kwato za Godzilla au dinosaurs (earlier reptiles) wanatupelekapeleka kuwa ni za mwanadamu, maana mzungu naye, akiwa hana hela kila kitu kwake ni fursa :D:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Mkuu hawa jamaa huwa hawakurupuki wanachunguza kwanza ndipo hutoa report... hivyo kuwa mpole tu... nyayo za mtu zliyevaa viatu zinajulikana na nyanyo za mtu atemeaye pekupeku zinaeleweka... hata kama zitaharibika unaweza kustuka...

Nyanyo za Hunzi bin Hunuzi ushawahi zisikia?Hatua ya moja ipo mkoa mwingine na nyingine mkoa mwingine
 
Mimi swali langu nauliza ,hao watu wasayansi kwa nini wanasema kuna viumbe vimetoweka duniani na hapo hapo kuna viumbe vyengine vimebadilika kutoka hali moja kwenda nyengine na kwa nini hali hiyo ya kubadilika haiendelei .sisimizi ageuke kuwa ng'ombe.

kabla hujajibiwa unaelimu ya historia hata ile basic kidogo..... maana kama umefika chuo kuna kozi wanaandika pre requisite kua uwe ulishasoma kozi flan kabla ya kusoma hii.
 
Back
Top Bottom