ANC Africa Kusini waja juu picha ya Zuma ikionyesha nyeti

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Nimesoma habari kwamba ANC kule juu wamekuja juu kuhusu picha ya Zuma iliyochorwa na msanii ikionyesha nyeti za raisi huyo wa South Africa. Nikakumbuka enzi zile pale UD Mwinyi alichorwa akiwa kwenye boxer akaja juu kweli, sasa fikiria inhekuwa kama hii ya Zuma!
The ANC is outraged at a portrait that shows President Jacob Zuma, in the pose of Lenin, with his genitals hanging out. And the party is headed to court to force the artist Brett Murray, the Goodman Gallery and the City Press newspaper to remove the portrait.
The Goodman Gallery said Murray will not comment and will let the art “speak for itself”.
The 1.85m-high piece, priced at R136 000 and titled The Spear, was first reported on by City Press and a picture of the portrait was printed and displayed on its website. City Press

 
Haaahaa! Suti kali ila zipu wazi..ukijipendekeza tu unakuwa kimada halafu baadae unaolewa rasmi.
 
Ukweli mara zote huuma!
Ndo mambo anayofikilia mda mwingi so jamaa ameamua kuweka lugha ya picha.
Alafu mkuu wetu apa sijui Zuma ndo role model wake?
 
Muhimu ni ujumbe kuhusu tabia yake ulio kwenye hiyo picha. Ila wamekose rangi ... should be zile rangi zao
 
duh..mshedede wazi..that's freedom of expression..kuna mtu nchi inabidi achorwe yupo angani na vimada 1000 visivyo rasmi
 
Back
Top Bottom