MAMMAMIA
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 3,811
- 1,603
Ni kawaida kabisa kwa "mtenda kosa kujiweka kimbelembele na kujidai kusaidia kumtafuta mwenye makosa, kulikoni kuepuka kujitokeza kwani kwa kufanya hivyo anaweza kushukiwa". Hii haimaanishi kusema kuwa Msangi anahusika, lakini uwezekano upo.Hii inaingia akilini kidogo..........Msangi hana jeuri ya kumteka mtu hadharani kwa mkono wake mwenyewe kisha akenda kumhoji.