Anayetaka kusaidiwa kazi

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,038
854
Habari za mda huu wanafamili wa JF.
Nina degree ya business administration na mimeajiriwa mkoa wa dodoma, hivi sasa natarajia kuanza likizo ya mwezi kuanzia tarehe 11 na ningependa nitumie mda huu kupata uzoefu zaid kwa kujitolea bila ya malipo hapahapa mkoani Dodoma, kwa wamkoani utabidi unigharamikie living expenses kama utahitaji my services, kama wahitaji msaada check me on maubig2007@yahoo.co.uk
 
Unaenda likizo au umefukuzwa kazi?ebu sema ukweli mkuu..
 
Unaenda likizo au umefukuzwa kazi?ebu sema ukweli mkuu..


I am not fired man, I just have long term career plan and right now I want to work on it in order to achieve this objective.
 
uzoefu wa kazi ni muhimu mkuu, kwa sababu kuna baadhi ya kazi wanataka qualification nyingi na ma experience ya kumwaga, I have long term career plan, and I am working on it now
 
Back
Top Bottom