Anayetaka kumuua Mwakyembe: JK or EL?

Status
Not open for further replies.

Sirikali

Member
Dec 16, 2010
89
36
1. Taarifa aliyoitoa Mwakyembe ya kutaka kuuliwa ilionesha gari za STK zikitumika na wauaji hao waliokodishwa.

2. Mwakyembe akiwa bungeni alisoma taarifa nusu na kuacha kipande kinach JK kuhusika na sakata la richmond.

Wahusika wakuu ni ama JK au EL. Lakini EL alishabwaga manyanga, JK ndiye alieybaki, gari za STK zipo chini ya JK na si EL.

Muhusika mkuu wa yaliyompata Mwakyembe ni JK na si EL.

Nawakilisha.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom