Anayeongoza kuuza sura kwenye Press Conference

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Huwa nashangaaga mtu anaitisha press conferernce anaishia kusema mfano ''kesho kutwa nitaitisha press conference nyingine na kutoa habari kamili''.
 
Huwa nashangaaga mtu anaitisha press conferernce anaishia kusema mfano ''kesho kutwa nitaitisha press conference nyingine na kutoa habari kamili''.

Mkuu kwenye hili, Kamanda Kova ndo bingwa,, tangu akiwa Mbeya. Yeye huwa anatoa habari nusu nusu ili aendelee kuuza sura magazetini na kideoni.
 
SelemanKova.jpg
 
Mkuu kwenye hili, Kamanda Kova ndo bingwa,, tangu akiwa Mbeya. Yeye huwa anatoa habari nusu nusu ili aendelee kuuza sura magazetini na kideoni.

Hahahaha siku akiitisha tunaomba waandishi mmpige swali je lile dili la madawa kwenye maiti liliishia wapi?
 
Mwingine John Tendwa.

Huwa ananikera sana jinsi anavyotamka maneno ka sholi vile. Yuko feki sana kimatamshi.
 
Afande MWEMA na yeye yumo. Zile kilo khamsini za madawa ya kulevya yaliyokamatwa Tanga yaliishia wapi?
 
Mwingine John Tendwa.

Huwa ananikera sana jinsi anavyotamka maneno ka sholi vile. Yuko feki sana kimatamshi.
Ha ha ha... Tendwa anaboa hata kumsikiliza, neno moja litavutwa kwa pozi mpaka basi... NIlidhani mie nina bias nae kumbe pia mkuu umeona eeh!
 
Back
Top Bottom