Anayejua website ya tbc

Jamco_Za

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,330
195
jamani nahitaji web site ya TBC maana nasikia ze comedy wameanza huko ili niweze kuona kama nitapata clips za maonyesho yao.
 
Leo wametoa shoo moja kali sana sijui ndio mambo ya kuanza...kwa sasa wanatiwa orijinal komedy.....

Moderator manaweza ipeleka kwa burudani hii kitu?
 
Leo wametoa shoo moja kali sana sijui ndio mambo ya kuanza...kwa sasa wanatiwa orijinal komedy.....

Moderator manaweza ipeleka kwa burudani hii kitu?

Hata mimi nimeona hiyo show yao,kwa kweli ilikuwa kama introduction walikuwa wanajitambulisha kwa majina yao mapya.

Tatizo lao wameanza tena na mtindo wao ule mbaya wa kuigiza nyimbo za dini kama walivyokuwa wanafanya EATV,Mimi nadhani itawaweka matatani tena kama wenye nyimbo hizo wataamua kukomaa nao maana the way wanavyoziigiza kweli zinadhalilisha U-kristo kama sio kuutukana.

ORIJINO KOMEDI kama wanavyojiita sasa hizi wanao uwanja mpana sana kuelimisha JAMII si lazima kwao kujiingiza katika nyimbo za Dini fulani,kama basi wameamua kujiingiza katika kuelekeza masuala ya dini basi wasibague au wasiionee Dini ya ki-kristo pekee yake bali waigize hata kwa Waislamu kama kweli wameamua kuigiza mambo ya dini.

ORIJINO KOMEDI ni wazuri sana wanafurahisha na wanaelimisha jamii kuna mambo mengi sana wanatakiwa kuelimisha mambo ya Dini wangewaachia WACHUNGAJI na MASHEIKHE kama wataendelea kuchafua Dini za wengine naamini siku moja yatawaghalimu sana.

Website ya tbc mimi sijaiona.

NAOMBA KUWASILISHA HOJA!!!!!
 
Leo wametoa shoo moja kali sana sijui ndio mambo ya kuanza...kwa sasa wanatiwa orijinal komedy.....

Moderator manaweza ipeleka kwa burudani hii kitu?

Wajameni,kwani kapindi kao kako saa ngapi,au kama kawaida al hamisi jioni na kurudiwa ijumaa na jumapili kama ilivyokuwa.Mana nyumbani kwangu kuna wagonjwa wa hiyo kitu na sijawasikia kusema sema.
 
katika magari yao utaona kitu kimeandikwa www.tbc1-tz.org sijui ndio hii au la

Labda ndio wako mbioni kuiunda. Hata hivyo ni jina baya walilochukua. Sijui kwa nini hawataki kuwa "Proud Tanzanian" na kutumia .go.tz au .co.tz?

By the way kuna kauzembe leo nimekaona TBC1 kamenichefua kiasi. Katika ripoti yao kuhusu meli ya Ukraine iliyotekwa Somalia TBC1 wameita [military]tanks "matanki" badala ya "vifaru"
 
EATV pwaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Saizi tunaaanza kufaidi naona ushauri wa wadau mbali mbali wameufanyia kazi ndo maana wamekuja kivingine ili waendeleze libeneke kama kawa......Tunaomba mod's utuletee clip japo kidogo tufaidi kitu cha jana nasikia ilikuwa si mchezo kwani wameigiza na mazishi ya Chacha...
 
Back
Top Bottom