Anayejiita 'Yesu' Aua Wawili

Kashuka lini huyu BWANA?.
.
Najua akisha hukumiwa kifo atafufuka halafu atapaa tena!.
.
BWANA Ukishuka tena
Ibukia TZ uje uwashughulikie mafisadi!
 
Mzee hi habari unaipa Breaking News!
mbona ilitoka siku nyingi tu kwenye website ya nifahamishe.com au kwa kuwa michuzi kaitoa leo?
icheki hapa
http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=2160326&&Cat=2
2160326.jpg
 
Ah
Mwisho wa dunia watatokea makristo wengi wa uongo ila musiwaamini hao
atakayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokolewa period.
 
Back
Top Bottom