Anayehitaji line za tigo pesa

Line za tigo pesa kivipi?
Hebu fafanua coz navyojua line zote za tigo zinauwezo wa huduma ya tigo pesa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
:sleepy::sleepy::sleepy::sleepy: Kichwa yangu junguluka!!!! Mtu akiinunua hiyo line, ataisajili vipi uwakala wa hiyo tiGO Pesa?
 
Dah!umefanya vyema sana,sasa kwa nini usiweke wazi jinsi ya kufanya,faida yake huwa inapatikana vp?nini unatakiwa uwe nacho?tofauti kati ya tigo pesa na m-pesa nk.? weka wazi nahisi wengi wangependa kuelewa ndio wa kupm.
 
Miminahitaji hiyo line ya TIGO PESA Naomba nitumie No.yako ya simu kwenye private message nitakupigia for more infomation. Fanya haraka maana nitaimaliza hela niliyoi save
Asante
 
jamani kwa anayehitaji line za tigo pesa naomba aniPM. Bei ni nafuu

habari, kwa kweli nahitaji, sasa naomba mwongozo, pia ni vyema kama alivyoshauri mwanachama mwenzetu ukatufahamisha faida na namna ya kuwa wakala wa tigo pesa ukilinganisha na mitandao mingine.
 
Mbona mtu mwenyewe hajibu watu tunaouliza ? Nimemwomba anitumie number yake kwenye private messge lakini naona yuko kimya?
Kaka are you seriuos unataka kuuzia watu hizo line za Tigo Pesa?
Asante kwa kutujibu
 
Huyo jamaa tapeli,beta muende tgo mkapatiwe zakwenu 2,...short cut iz a wrong cut mcje ku2lilia humu na vicent vyenu vya urith hivyo kama mlivyofanywa na decci.......onyo onyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom