Anayefahamu hili anijuze

Adm

Senior Member
Sep 19, 2010
149
45
Kwenu wanajf,nataka nifanye applications za kujiunga na vyuo vinavyotoa clinical officers.Lakin bahati mbaya sivifaham vyuo(hususan vyuo binafsi) na mahali vilipo hapa nchini.Naomba anayefaham anijuze
 
Mimi najua CoTC ya Kibaha, ndani ya Shirika la Elimu Kibaha. Nasikia kuna cha Morogoro, Mtwara na Ruvuma, ila sijafika huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom