Anayebisha kwamba polisi si vibaraka wa CCM asome stori hii ya T. Daima

Ipo siku watachoka na kuacha kukibeba ccm, dalili zimeanza kujionyesha!
 
wadau njaa,mmetumwa nn.Mbona mmekuja ka nyuki.Nimesoma neno hadi neno ila kuna vingapi kusoma neno hadi neno,mmetumwa nyie.Magamba magamba,ndio hayo yanawalisha na kuwalinda
 
muwe mna summarize! Mnaweka madudu marefu hadi yanaboa,kama mtu anataka in details si atafute hiyo source mfano tanzania daima.acha ushabiki wa kisiasa.

Wewe unaonekana ni mwanachama namba 2 wa magamba usingekerwa na thread hiyo.Acha watu wenye akiri timamu washabikie chama chao tawala kitalajiwa, we vipi?.Kama vipi nawe post MAGAMBA yako tuyaone.
 
muwe mna summarize! Mnaweka madudu marefu hadi yanaboa,kama mtu anataka in details si atafute hiyo source mfano tanzania daima.acha ushabiki wa kisiasa.
acha uvivu wa kusoma,nyie nio mnaosaini mikataba mibovu,wazungu wanakuwekea karatasi 200 za kusoma,kwa kuwa ni mvivu wa kusoma unasoma karasi mbili ama nne then unasaini na mwisho wa siku tunalia kwa uvivu wako wakutokusoma kilichoandikwa ktk mkataba
 
wadau njaa,mmetumwa nn.Mbona mmekuja ka nyuki.Nimesoma neno hadi neno ila kuna vingapi kusoma neno hadi neno,mmetumwa nyie.Magamba magamba,ndio hayo yanawalisha na kuwalinda

Nina wasiwasi na elimu yako dogo,Magamba wanakulisha wewe,mama yako,baba yako na ndugu zako wote unaowajua sie wanaume tunatoka jasho wenyewe,bhata ww
 
muwe mna summarize! Mnaweka madudu marefu hadi yanaboa,kama mtu anataka in details si atafute hiyo source mfano tanzania daima.acha ushabiki wa kisiasa.

wewe kama umeona ni madudu umeyajibu ya nini? hata wewe unaongea madudu,ukiona hoja huna kaa kimya siyo unabweka bila hoja.
 
naona wewe mwenyewe ndo unabisha. angalia heading ya uzi wako
na content/ maelezo yake
 
muwe mna summarize! Mnaweka madudu marefu hadi yanaboa,kama mtu anataka in details si atafute hiyo source mfano tanzania daima.acha ushabiki wa kisiasa.
huo ni uvivu wa kusoma!!! uvivu huo kaa nao wewe sio kwa wote!!! tuache sio tupate habari!
Ndio maana hamwez hata kujisomea vitabu kwa maarifa zaidi,shame on you!
 
wadau njaa,mmetumwa nn.Mbona mmekuja ka nyuki.Nimesoma neno hadi neno ila kuna vingapi kusoma neno hadi neno,mmetumwa nyie.Magamba magamba,ndio hayo yanawalisha na kuwalinda

Mdau njaa ni wewe ulietumwa na magamba! ipo cku utajuta! tafuta halali kwa jasho lako sio kulipwa kwa kukatisha tamaa pale panapoeleza ukweli,kisa nafaidi kupitia magamba! the day is coming soon!
 
Back
Top Bottom