Anayebeza haya maendeleo basi hana nia njema na nchi yetu.

sasa jamani unafikiri hayo tu ndio mambo ambayo serikali ya Tanzania ilitakiwa kuyafanya ukilinganisha na rasilimali za nchi? Kweli? Akili mzasaburi hizi ..na baadhi ya hayo mambo utakuta ni misaada
 
Wanao beza ni wale wenye macho lakini hawaoni kutokana na shuka la uchadema limeziba nyuso zao. Haya maendeleo ni sumu kwao, kila jema linalo fanyika linarudisha nyuma ndoto zao.

Unfortunately kwako na wenzako, Watanzania walio wengi (hata wasiojua kusoma na hawafuatilii mambo ya kisiasa) wanajua kuwa kukiwa na maendeleo hali ya maisha haiwezi kuendelea kuwa ngumu kila kukicha. Ni serikali hii tu (naamini dunia nzima) ndiyo inayodhani kuwa kwa kupiga porojo watu watasahau ugumu wa maisha (ref: ziara za mawaziri kuwaelezea wananchi ubora wa bajeti!!!!!).

Endeleeni kupiga porojo, ukweli utajulikana 2015.
 
Anaeli. What a pleasant name but what you have presented reflects shallow understanding kwenye maendeleo. Nchi zote unazozikia zimeendelea au zinaendelea kwa namna ya ajabu zimekuwa hivyo kwa kuwekeza kwenye elimu, sayansi, teknolojia na afya. Kwa kifumi zimewekeza kwenye human resources na watu wake wamesoma na wanaendelea kusoma na kueklewa lakini sio ubabaishaji. Wewe unachukua ubabaishaji unaufanya ndio maendeleo. Mahatan Brazil kuna majengo makubwa na marefu (skyscrappers) kuliko hata Washngton lakini haya hayaifanyi Brazil kuwa nchi iliyoendelea(developed) Sasa wameshtuka wamenaza kuwekeza kwenye vitu tajwa hapo juu na leo tunapoongea inaitwa emerging economy in the same group with China and India. Maendeleo lazima yapimwe kwenye economic overheads capital kwa kutaja tu viwanda vya kutengeneza bidhaa inayotumika katika viwanda vingine. Unaowasifia viwanda wameuza vikageuzwa maghala, miundo mbinu ya roads, viwanja vya ndege (runways and terminals) hapa ni aibu kabisa, reli-tunazo mbili moja iko ICU na nyingine umesema lakini katika upeo mfinyu. Kwa maana nyingine hatuna na aibu kubwa, barabara karibu nyingi ni za viwango duni na zile ulizotolea mfano wenzetu Kenya mradi wa mabasi yaendayo kwa kasi uliisha miaka 10 iliyopita sasa wametengeza flyover inayotoka Nairobi na kwenda mji wa Kasakazini unaitwa Taita. Sasa sijui wewe unaishi dunia gani. Bomba la gesi siwezi kusema sana lakini naifiki kama kuna mradi kichekesho ni bomba la gesi ambalo ni a ghali na afadhali mara mia wangeweka mitambo ya TANESCO gesi inakozalishwa halafu inaingia kwenye gridi ya Taifa kuliko bomba ambalo kila baada litahitaji ukarabati na gharama zote kwa taarifa yako na wengine zitalipwa na Mtanzania huyu ambaye atabebeshwa na mzigo mwingine wa gharama za umeme maana ataambiwa ni gharama za uzalishaji. Halafu ndugu yangu maendeleo si Dar es Salaam maana hayo yote uliyoorodhesha ni maendeleo ya kijisehemu tu cha mji wa Dar na nakwambia ni kwa faida ya wachache
 
Amesahau mchina ndio kaamua okoa Tazara ili apate benefiti ya kuchukua Shaba kwa wingi kabla US,na wengine hawajaja jenga kambia rasmi.

Amesahau mikataba mibovu ni CCM ndiye alieiingia na is ilikuzaliwa yenyewe.Kasahau kuwa jambazi hajisifu kwa kurudisha shemu ya alichoiba.Ila hujisifu wale waliosababisha karudisha hata hicho kidogo.
 
Amesahau mchina ndio kaamua okoa Tazara ili apate benefiti ya kuchukua Shaba kwa wingi kabla US,na wengine hawajaja jenga kambia rasmi.

Amesahau mikataba mibovu ni CCM ndiye alieiingia na is ilikuzaliwa yenyewe.Kasahau kuwa jambazi hajisifu kwa kurudisha shemu ya alichoiba.Ila hujisifu wale waliosababisha karudisha hata hicho kidogo.
Tangu umeanza kufanya kazi umefanya nini kwenu?
 
Kwa hakika nchi yetu imeanza kujikwamua tena kwa kasi sasa. Nataraji mda si mrefu nchi yetu itakuwa na maendeleo makubwa.
Nimekuwa nikijionea kwa macho yangu jinsi miradi mbalimbali hapa nchini inavyoenda kwa kasi. Hii ni dalili tosha kabisa kwamba viongozi wetu wameamka kutoka katika usingizi waliokuwa nao.

Nitajaribu kutaja baadthi ya miradi inayoendelea hapa nchini na italeta chachu kubwa sana ya maendeleo.

1. Ujenzi wa Hospitali ya kimataifa: Huu ni mradi ambao tayari umekwisha kuanza. Hospitali hiyo itajengwa maeneo ya kisarawe ambayo itakuwa na kiwanja cha ndege. vilevile kutakuwepo na chuo cha madaktari, wauguzi na wafamasia. Hospitali hiyo itarajiwa kumalizika mwaka 2014.

2. Ujenzi wa daraja la kigamboni: Huu mradi tayari umeshafunguliwa na tayari sasa daraja kwaajiri ya kuwasaidia wajenzi limeshawekwa. ni matumaini yangu mda si mrefu ujenzi wa daraja hilo utaanza.

3. Mabasi yaendayo kwa kasi: Katika kutatua tatiza la foleni kwa wenyeji wa dar es salaam nadhani wanajionea wenyewe jinsi shughuli za ujenzi wa njia za mabasi yaendayo kwa kasi inavyo enda kwa kasi.

4. Upanuzi wa barabara mbalimbali: Kila mmoja mwenye macho anaona jinsi miradi ya ujenzi na upanuzi wa barabara zetu unavyo enda kwa kasi.

5. Kupitiwa kwa mikataba mbalimbali: Mikataba mbalimbali ambayo ni mibovu inapitiwa na kurekebishwa. Mikataba ya madini na na mingine mingi tu.

6. Kuwa na umeme wa kudumu: Ujenzi wa bomba la gesi abao kwa uhakika utaondoa kabisa tatizo la umeme nchini.

7. Reli ya tazara: Ukarabati wa reli ya tazara utarahisisha usafiri wa watu waendao kusini mwa tanzania tayari sasa serikali ya Tanzania, Zambia na China wameshaanza utaratibu wa kuikarabati reli hiyo.


Kwa hayo machache tu na mengine yapo mengi. Hii ni dalili tosha kabisa nchi yetu inapiga hatua kwa kasi.
Tutambue kuwa kuna nchi hawataki kuona nchi yetu ikiendelea maana itakapoendelea watakuwa hawana chao kwetu.

Kwahiyo anayebeza maendeleo haya basi hana nia njema na nchi yetu.
dude are you mad or toxicated?
 
Unfortunately kwako na wenzako, Watanzania walio wengi (hata wasiojua kusoma na hawafuatilii mambo ya kisiasa) wanajua kuwa kukiwa na maendeleo hali ya maisha haiwezi kuendelea kuwa ngumu kila kukicha. Ni serikali hii tu (naamini dunia nzima) ndiyo inayodhani kuwa kwa kupiga porojo watu watasahau ugumu wa maisha (ref: ziara za mawaziri kuwaelezea wananchi ubora wa bajeti!!!!!).

Endeleeni kupiga porojo, ukweli utajulikana 2015.
Wenzio CHADEMA wanapigana huko mwanza nenda kawatulize.
 
rekebisho mimi sio dada ni kaka. Halafu sijaongelea reli ya kati nimeongelea reli ta tanzara sawa mtu wangu?

hii reli itakuwa mpya kwakweli namimi nampongeza kama anajenga reli mpya hii itatoka wapi kwenda wapi mkuu!?
 
what you have written is totally mixa ya tongotongo na makamasi then una brenda na parachichi....
Sijui unaongea nini wewe hivi uko hapa TZ kweli? na uko hapa dar kweli? sijui hata unachoongea sijui pointi yako ni ipi.
 
Tangu umeanza kufanya kazi umefanya nini kwenu?

Nimekueleza kwa nini wachina wanahamau kubwa sana ya kurekebisha Tazara huku wakisamahe madeni na si kujenga ya kati.Mnadandia sana kila kitu.

Nimeweza kueleza kuwa kurekebisha mikataba hakuna tofauti an mwizi aliyerudish kiasi cha alichoiba huku akitaka sifa.

Nimeweza kukumbusha usiendelee danganya watu kijinga hivi,ni bora ukafanya kazi sahihi na si kudhalilisha na kuzidi ua nchi.
 
Nikapoteze muda kutuliza "ugomvi" usiokuwepo? Ila wewe endelea kutangaza "maendeleo" ya kufikirika, ulivyo zuzu unashindwa hata kujua kuwa maendeleo hayahitaji kupigiwa debe ili yaonekane.
Dah inamaana hujui kuwa madiwani wa CHADEMA wamepigana kwenye kikao mwanza!!!? Waulize wenzako watakujibu.
 
Nimekueleza kwa nini wachina wanahamau kubwa sana ya kurekebisha Tazara huku wakisamahe madeni na si kujenga ya kati.Mnadandia sana kila kitu.

Nimeweza kueleza kuwa kurekebisha mikataba hakuna tofauti an mwizi aliyerudish kiasi cha alichoiba huku akitaka sifa.

Nimeweza kukumbusha usiendelee danganya watu kijinga hivi,ni bora ukafanya kazi sahihi na si kudhalilisha na kuzidi ua nchi.
Reli ya Kati ilijengwa na Wajerumani Reli ya Tazara ilijengwa na Mchina.
Ofcause china ikojuuu sana kiuchumi yaani zaidi ya mara 1000 ya nchi yetu so wachina kujenga reli ni muhimu sana kwa maendeleo yetu.

Wewe hasa unachotaka nini kifanyike sasa?. Maana mikataba inarekebishwa hutaki au ndio kama yule mtoto asiyejua kuwa chakula kiko jikoni na anataka ale wakati hakijaiva?
 
Back
Top Bottom