Anaye uza htc sensation anicheki

Achahasira

JF-Expert Member
Mar 9, 2011
1,213
214
wakuu anaye uza htc sensation anicheki.kama used iwe hali nzuri no michubuko.0688033330
 
Unaitaka lini?? kama ukisubiri mwisho wa mwezi mi nnayo original! ipo na cover tangu mpya kwa hiyo no michubuko! imetumika lakini ipo safi tu! 500, 000Tsh. bei haina maongezi mkuu. utanisamehe kwa hilo. pm kama uko intrested.
 
dah mkuu mwisho wa mwezi mbali kweli,fanya mpango iwe karibuni(siku mbili hizi)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom