Anaye hitaji house boy!

Form six!!!!!!!!!!!!! huyu chapa chapa tuuuuuuuuu! shauri yenu! ataanza na mama kisha watoto alafu ndugu zako! alafu wewe playboy subiri nafasi kwenye majeshi ukatoe usongo wako hukooooooooooooo!
 
kuna kingine unatafuta wewe...
funguka na umalizie CV yako vizuri,
nini zaidi unaweza kufanya endapo utaajiriwa katika nyumba fulani?
BTW houseboy means alot kama ukiamua kuitafutia maana...lol
 
My Wife is 28 na wewe unataka kazi kwangu? Kazi gani hiyo? Lol hebu fikiria vingenevyo Bro
 
Kuna basha moja la kihindi linatafuta houseboy, nikuunganishie?
 
Aisee baba yangu embu acha uvivu wewe ni pm nikuelekeze uje huku rombo 2jiajiri kuuza ndizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom