Anauzwa. Bei ni maelewano

Umereject au nimeamua kumwachia Mwali?
Maana presha ilikuwa inapanda na kushuka.

Hicho kiazi, nakitafutia biology yake kwanza.

Ndio maana offer ya kongosho imekuwa rejected. Inaonekana kunaweza kuwa na offer nzuri hapa. Bei maelewano.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Ndio maana offer ya kongosho imekuwa rejected.
Inaonekana kunaweza kuwa na offer nzuri hapa. Bei maelewano.

Umereject au nimeamua kumwachia Mwali?
Maana presha ilikuwa inapanda na kushuka.
Hicho kiazi, nakitafutia biology yake kwanza.
Naona EMT karudi kuamua sasa, anaringaaaaaa mwenyewe.
Haya baba, nadhani hadi sasa mteja sirias ni mimi tuu.
Konnie aliamua kuniachia nafasi.
 
Hapana umeamua "kumwachia Mwali" kwa sababu ulikuwa na wasiwasi offer yako itakuwa rejected. Au basi tuseme ume-withdraw offer. Lakini strictly speaking, kwa vile ulikuwa umesha communicate your offer to me, huwezi tena ku-withdraw but I can rejected it before accepting it.

Naona EMT karudi kuamua sasa, anaringaaaaaa mwenyewe.
Haya baba, nadhani hadi sasa mteja sirias ni mimi tuu.
Konnie aliamua kuniachia nafasi.

Mwenye mali kwa nini asiringe hasa kama wateja wengine wanavutitwa na bidhaa yenyewe? Wateja ni wengi, sio wewe tuu. Tena kuna wengine wanataka kununua both kiazi cha Smile na puppy wangu for a very good deal. Nawasiliana na Smile kama kuna uwezekanao wa kupiga "wholesale" kabisa hapa.
 
@EMT
ha ha ha , i love your guts!
Utaireject offer yangu? Afu hutaki niwithdraw?

Basi ngoja nicompete na Mwali seriously, naona dalili za mafanikio ni kubwa.

@Mwali(nakunong'oneza) ntakupa wewe nikishinda, ila tu uniridishie pesa yangu.
 
Hicho kiazi sijakipenda kwa kweli. Hakijakaa vizuri kabisa.
Niko tayari kulipa bei ya vyote viwili ila nisikioni karibu yangu
Kongosho, kama unataka wewe nunua kiazi, niachie mbwa.
 
Kama umeamua kuja na second offer, unakaribishwa. But it won't be given any priority. Offer zote zitafikiriwa kwa usawa na nita-accept the most attractive offer. Ila kitendo chako cha kumnong'onezea Mwali kuwa utampa ukishinda halafu akurudishie pesa yako, kinaweza kuwa interpreted as a conspiracy to defraud which may lead to your offer being rejected without consideration.

Whether kiazi ni kibaya au kizuri is non of my business. Ila utakubaliana na mimi 100% kuwa uzuri wa kiazi sio muonekano wake bali utamu wake.

niliku PM hujanijibu mpaka imekuwa reversed!

Sijaona PM yako. Labda Kongosho amehack account yangu na kufuta PM?
 
Whether kiazi ni kibaya au kizuri is non of my business. Ila utakubaliana na mimi 100% kuwa uzuri wa kiazi sio muonekano wake bali utamu wake.
Shame on you! :redfaces:
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Shame on you! :redfaces:

Well, if you judge books by their covers nakuacha. Lakini umeshawahi kusikia mtu akimtukana mtu kuwa anakichwa kama kiazi lakini his/her favourate food ni viazi? Kuna mpaka viazi vitamu, na vimeitwa hivyo japokuwa kuwa na shape mbaya kupita hata viazi vingine.

am lonely as much as never tumsubiri EMT aje kwa kweli tupige mnada and i promise you i wont løse.

EMT what is this bwana, are we playing a fair game here???? :teeth:

Alichosema Kabakabana kinaitwa "invitation to treat". Lakini invitation to treat is not an offer capable of being accepted. I will only accept the most attractive offer not invitation to treat
 
Kama umeamua kuja na second offer, unakaribishwa. But it won't be given any priority. Offer zote zitafikiriwa kwa usawa na nita-accept the most attractive offer. Ila kitendo chako cha kumnong'onezea Mwali kuwa utampa ukishinda halafu akurudishie pesa yako, kinaweza kuwa interpreted as a conspiracy to defraud which may lead to your offer being rejected without consideration.

Whether kiazi ni kibaya au kizuri is non of my business. Ila utakubaliana na mimi 100% kuwa uzuri wa kiazi sio muonekano wake bali utamu wake.

Sijaona PM yako. Labda Kongosho amehack account yangu na kufuta PM?

mhh kwa hili usimsingizie könny kabisa
 
Well, if you judge books by their covers nakuacha. Lakini umeshawahi kusikia mtu akimtukana mtu kuwa anakichwa kama kiazi lakini his/her favourate food ni viazi? Kuna mpaka viazi vitamu, na vimeitwa hivyo japokuwa kuwa na shape mbaya kupita hata viazi vingine.

Alichosema Kabakabana kinaitwa "invitation to treat". Lakini invitation to treat is not an offer capable of being accepted. I will only accept the most attractive offer not invitation to treat

yes the one i won't lose.
 
Labda Kongosho amehack account yangu na kufuta PM?
EMT, umenitisha sana hapo... hivi inakuaje watu tunabid wote
halafu wengine wanakua (possibly) na access ya PM zako?
I just hope wanaona PM za biashara tu, zile za uchaguzi ulifuta.
 
Kama umeamua kuja na second offer, unakaribishwa. But it won't be given any priority. Offer zote zitafikiriwa kwa usawa na nita-accept the most attractive offer. Ila kitendo chako cha kumnong'onezea Mwali kuwa utampa ukishinda halafu akurudishie pesa yako, kinaweza kuwa interpreted as a conspiracy to defraud which may lead to your offer being rejected without consideration.
Hiyo post ni Mwali kahack account yangu, tena mie nataka kiazi na mbwa wake. Vyote ntavitumia mwenyewe.
Na hakika offer yangu ni nzuri sana

Sijaona PM yako. Labda Kongosho amehack account yangu na kufuta PM?
itakuwa ni Mwali, anapenda kucheza rough sana.
 
wewe nikikuong'oneza unamwambia EMT, sasa hivi nakuchinjia baharini.

Ona sasa hadi Kabakabana kaongezeka.

EMT, umenitisha sana hapo... hivi inakuaje watu tunabid wote
halafu wengine wanakua (possibly) na access ya PM zako?
I just hope wanaona PM za biashara tu, zile za uchaguzi ulifuta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom