Anaumwa sana.

At least sasa hivi ameweza hata kula mtori kidogo.Nawashukuruni wote,MUNGU awabariki.
 
kapaKabana, Pole..... lakini naona kama vile dawa unayo mwenyewe. Mpe na atapona haraka. Usicheleweshe tiba kwa mgonjwa.
 
nafahamu uko kwenye wakati mgumu rafiki. lkn kumbuka Mungu ana makusudi ya kumfanya shem augue, yote ni
kutaka kukupima utam care vipi kipindi kama hiki, je, ww ni wa dhati kweli kwake?
kumbuka rafiki wa kweli hujionyesha kipindi kama hiki.
tupo pamoja.

ni kweli ndugu yangu.Mitihani tumeumbiwa binadamu na kwa neema yake tutashinda!ubarikiwe
 
At least sasa hivi ameweza hata kula mtori kidogo.Nawashukuruni wote,MUNGU awabariki.



Bado natafakari na kufuatilia! Inaonekana unaniongelea mimi mwanzo mwisho!? Nahisi nitagundua kitu hapa. Thanks anyway!
 
Kabakabana mpe pole shemeji yetu.. Kwa uwezo wa Mungu atapona. And we love to see you happy so cheer up!
 
Ajaafa bado??
Pole jipe moyomwaya ndio jf unahuzunika unacheka
 
Kbkb
hope ametoka wodini maana wikijayo wananza rasmi kamgomo mwaya kama vipi tumletee ambulance ya kumuhamisha m nina yangu nakodisha incase ya emergency ila kwako shem nakupa free toll free
999
 
Ananipenda,ananijali!Nilishaanza kuwa na amani moyoni mwangu kwa mapenzi mazito niliyopokea kutoka kwake.Tangu jana mpenzi wangu ameanza kuumwa sana,presha iko juu sana mpaka leo hali bado sio nzuri.
Kama Mungu nilivyokuambia kuwa huyu mwanaume ni furaha yangu,nakuomba umrudishie afya yake jamani.

Usivyowapend wanaume wa Dar, bila ya shaka shemeji yetu ni M - R chuga tu, mpe pole sana ndugu yangu ila akipata nafuu mwache apumzike mpaka hali itengemae kabisa ndiyo muanze mishe mishe.
 
Angalia usije ukawa wewe ndo unampa hiyo pressure halafu wewe ndo ukawa tiba yake
 
Back
Top Bottom