Anatumia tendo la ndoa kama bakora ya kukutia adabu!

hawa wanawake wa siku hizi bwana, wana matatizo sana, dawa ya mwanamke ambaye hapendi diplomasia ni kumuacha tu, tatizo linakuja ukiwafikiria watoto hapo ndio huruma unakuja, ni kweli ndugu wake zetu wanatunjima raha sana, nawanapogundua baba unamapenzi sana kwa watoto
 
Wanaume wengine wenye makusudi mabaya hawafanyi hivyo, hawamsubiri mpaka na yeye atake ndio wakatae, anaweza tafuta siku tu, ugomvi ukishatulia, akamuandaa Mkewe kama ndio anataka kumpa mavituz, halafu ghafla akamuaga kuwa anaenda kwa rafiki yake kwani muda huo walipanga waonane, unavaa chap chap na kutoka, nakwambia atakukoma, maana utakuwa umemuacha akihang hang.

mkuu asije akaenda kwa house boy!
 
Kule kwetu wazee wanakwambia kabisa dawa ya mwanamke jeuri unamletea mwenzake lazima anyooke kama moja
 
...kuna wakina dada wanasubiri ukiwa kwenye "chorus" ndio wanakwambia (kukuomba) kitu ambacho wanajua ukiwa ktk hali ya kawaida utasita kukikubali. Mfano: "Honey, utaenda lini kujitambulisha nyumbani kwetu?". Inaboa mbaya. I hate emotional blackmail!

Mbona na nyie sehemu kama hizo ndo ahadi zinakuwa nyingi sana
Baada ya hapo yote mliyoahidi mnayasahau.
 
Mkuu Mtambuzi nimesoma bandiko lako mara mbili mbili kuna hisia zinanijia unakabiliwa na hili tatizo lakini hutaki kuweka wazi.Nakushauri tafuta mwanamke mwingine wa pembeni akiendeleza ufedhuli wake unampiga ban ya moja kwa moja.

Hebu chukulia umeoa mke ambaye ana kisirani hivi, kisirani hicho kinapevuka na kufikia mahali anakufanyia jambo ambalo mimi naweza kuliita ni uhuni. Anaanza tabia ya kutumia tendo la ndoa kama rushwa au kama adhabu.

Inapotokea anataka kitu ambacho huna uwezo wa kumtimizia au mmetofautiana au hajaridhishwa na jambo, badala ya kujadili kwa busara na kufikia muafaka, yeye hukukomoa kwa kukunyima tendo la ndoa tena kifedhuli.

Je kama ni wewe ungefanya nini?
 
mi nimepitia post zoote hapa...ila naomba nimuulize Natalie kwamba sex ni mara ngapi kwa siku/week ili ionekana kuwa ya kutosha na sio adhabu?
 
This is the main mistake most of ladies are making sidhani kama ni busara kufanya hivyo unakuwa unamkaribisha Ibilisi ndani ya ndoa hapo mume akitoka nje ya ndoa hastahilli kulaumiwa! Mi nafikiri ni vzr kukaa naye na kumuelewesha vizuri madhara ya yeye kufanya hivyo kwa mume wake! Mana huyo anakosa uelewa wa nini maana ya ndoa na wajibu wake kwa mume anahitaji msaada mkubwa sana wa shule huyo!
 
This is the main mistake most of ladies are making sidhani kama ni busara kufanya hivyo unakuwa unamkaribisha Ibilisi ndani ya ndoa hapo mume akitoka nje ya ndoa hastahilli kulaumiwa! Mi nafikiri ni vzr kukaa naye na kumuelewesha vizuri madhara ya yeye kufanya hivyo kwa mume wake!  Mana huyo anakosa uelewa wa nini maana ya ndoa na wajibu wake kwa mume anahitaji msaada mkubwa sana wa shule huyo!
 
...kuna wakina dada wanasubiri ukiwa kwenye "chorus" ndio wanakwambia (kukuomba) kitu ambacho wanajua ukiwa ktk hali ya kawaida utasita kukikubali. Mfano: "Honey, utaenda lini kujitambulisha nyumbani kwetu?". Inaboa mbaya. I hate emotional blackmail!
Labda ni kujiheshimu.
 
that trueth sababu wanawake kama hawa ni mizigo na hawajui maana ya kupenda nn? Matokeo yao wanaishia kuachwa, unakuta mwanamke ndiyo tu mpo tu kwenye relation ambayo ndio hata bado haija mature kiukweli mi naona ukiowa mtu kama huyo ni mzigo maana hana busara wala haya. Nakama ndiyo kaolewa yuko hivyo mwambie tu ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom