Anatumia tendo la ndoa kama bakora ya kukutia adabu!

Very simple!akikunyima unavumilia,na yeye siku amekukwaza halafu anataka unagoma!yaani ngoma droo.

Wanaume wengine wenye makusudi mabaya hawafanyi hivyo, hawamsubiri mpaka na yeye atake ndio wakatae, anaweza tafuta siku tu, ugomvi ukishatulia, akamuandaa Mkewe kama ndio anataka kumpa mavituz, halafu ghafla akamuaga kuwa anaenda kwa rafiki yake kwani muda huo walipanga waonane, unavaa chap chap na kutoka, nakwambia atakukoma, maana utakuwa umemuacha akihang hang.
 
Mwanamke mpumbavu huharibu nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.

Na mie natoka nje ya ndoa nikirudi naimba zangu Taarabu................. tena nakupiga mipasho ile ya kisawasawa............... mwenyewe utakaa chini..........eh!
 
Jamaa angu m1 aliwahi kuniambia waligombana na du wake ilipofika wakati wa tendo Gal akawa anachezea sim uku mshkaji akiangaika kutafuta watoto!
 
i waste no time to enjoy life,ila kuna mambo yanaweza kuudhi kiasi cha kupoteza interest kwenye hiyo makitu.
how abt i am the bad influence to husn? manake ni mwali wangu (mke wa my son..) na namshauri kama hujisikii weka kofuli kabisaa!
Halafu yaelekea wewe mbanifu sana wewe. Husninyo is a bad influence on you. Damn her na Mmasai wake!
 
Kuna movie moja ya ki Ghana niliangalia. Mdada kaolewa na kijana anayependa sex kupita maelezo; anataka 5 round every night. Ndoa ikawa ndoano kwa mdada. Mdada alikuwa mpakak anamlazimisha mmewe kufanya mazoezi kupunguza matamanio ya sex. Akaamua kushare hilo tatizo na mke wa mchungaji wa kanisa ambaye kwake ni kama mama nadhani walikuwa na undugu. Akamsihi amwite mumewe amkanseli na ikiwezekana amshawishi aanze kwenda church kwani anahisi either ana pepo au ni kwa sababu hana kazi ndio maana anawaza sex tu. Eti kuna siku akamuita mumewe na kumwambia amemtafutia kazi nzuri atakuwa CEO wa kampuni ya ndugu zake. Mumewe kaanza kuchekelea; lakini furaha ilikata ghafla baada ya wife kuongeza kuwa anadhani akianza kazi atapunguza kuendekeza sex. Akasema na sitaki hiyo kazi yaani unawasimulia ndugu zako mambo ya ndani

Basi mama mchungaji si akaanza kufanya kanseling hotelini. Mama ana pesa akawa anamuhonga kijana. Mama yuko tayari kwenda mpaka round sita; yaani anafanya kuomba. Mwanaume kasahau home. Akifika amechoka analala. Mkewe kaanza kulalamika tena kuwa maombi ya mama mchungaji yamefanya mumewe achukie sex. In short ndoa ilivunjika kwani mwisho wa siku binti akaanza kutoka na mchungaji na akapata mimba. Kumbe mke wa mchungaji alikuwa hapati mavitu anayotaka toka kwa mumewe hivo hiyo case ilikuwa ni golden opportunity kujipatia kidumu bila kujulikana.

Kwa nini wanaume wa kiafrika mnaamini kuwa ndoa=sex tu??? Yaani ndio maana madawa ya kuongeza nguvu yanapamba kasi unakuta hata mwenye uwezo wa kwenda one round anataka nae alazimishe 6 rounds; why? Ni kutokujiamini au nini? Mimi nadhani kuna wanaohisi kuwa wakifanya less watasaidiwa na si kweli kuwa it is that necessary kwenda several rounds.
 
Kama anabomoa msingi wa ndoa hana maana natafuta kitu pembeni then na yy nambania vilevile
 
Hebu chukulia umeoa mke ambaye ana kisirani hivi, kisirani hicho kinapevuka na kufikia mahali anakufanyia jambo ambalo mimi naweza kuliita ni uhuni. Anaanza tabia ya kutumia tendo la ndoa kama rushwa au kama adhabu.

Inapotokea anataka kitu ambacho huna uwezo wa kumtimizia au mmetofautiana au hajaridhishwa na jambo, badala ya kujadili kwa busara na kufikia muafaka, yeye hukukomoa kwa kukunyima tendo la ndoa tena kifedhuli.

Je kama ni wewe ungefanya nini?

Unalala style ya mcheza golf; mikono yote miwili kati ya miguu huku umejikunyata.

Japo wengi hawatokubali kusema huu mgawo siye tuliooa tunakutana nao.
 
Kuna movie moja ya ki Ghana niliangalia. Mdada kaolewa na kijana anayependa sex kupita maelezo; anataka 5 round every night. Ndoa ikawa ndoano kwa mdada. Mdada alikuwa mpakak anamlazimisha mmewe kufanya mazoezi kupunguza matamanio ya sex. Akaamua kushare hilo tatizo na mke wa mchungaji wa kanisa ambaye kwake ni kama mama nadhani walikuwa na undugu. Akamsihi amwite mumewe amkanseli na ikiwezekana amshawishi aanze kwenda church kwani anahisi either ana pepo au ni kwa sababu hana kazi ndio maana anawaza sex tu. Eti kuna siku akamuita mumewe na kumwambia amemtafutia kazi nzuri atakuwa CEO wa kampuni ya ndugu zake. Mumewe kaanza kuchekelea; lakini furaha ilikata ghafla baada ya wife kuongeza kuwa anadhani akianza kazi atapunguza kuendekeza sex. Akasema na sitaki hiyo kazi yaani unawasimulia ndugu zako mambo ya ndani

Basi mama mchungaji si akaanza kufanya kanseling hotelini. Mama ana pesa akawa anamuhonga kijana. Mama yuko tayari kwenda mpaka round sita; yaani anafanya kuomba. Mwanaume kasahau home. Akifika amechoka analala. Mkewe kaanza kulalamika tena kuwa maombi ya mama mchungaji yamefanya mumewe achukie sex. In short ndoa ilivunjika kwani mwisho wa siku binti akaanza kutoka na mchungaji na akapata mimba. Kumbe mke wa mchungaji alikuwa hapati mavitu anayotaka toka kwa mumewe hivo hiyo case ilikuwa ni golden opportunity kujipatia kidumu bila kujulikana.

Kwa nini wanaume wa kiafrika mnaamini kuwa ndoa=sex tu??? Yaani ndio maana madawa ya kuongeza nguvu yanapamba kasi unakuta hata mwenye uwezo wa kwenda one round anataka nae alazimishe 6 rounds; why? Ni kutokujiamini au nini? Mimi nadhani kuna wanaohisi kuwa wakifanya less watasaidiwa na si kweli kuwa it is that necessary kwenda several rounds.

umenichekesha kweli...sex kwa wanaume ni liwazo tosha na kuna wanawake wanaokwenda mpaka 5 ama na kuendelea...back to the point sex raha bhana ikipitisha wiki 2 hujafanya ndoani unahic umepungukiwa damu..
 
Hebu chukulia umeoa mke ambaye ana kisirani hivi, kisirani hicho kinapevuka na kufikia mahali anakufanyia jambo ambalo mimi naweza kuliita ni uhuni. Anaanza tabia ya kutumia tendo la ndoa kama rushwa au kama adhabu.

Inapotokea anataka kitu ambacho huna uwezo wa kumtimizia au mmetofautiana au hajaridhishwa na jambo, badala ya kujadili kwa busara na kufikia muafaka, yeye hukukomoa kwa kukunyima tendo la ndoa tena kifedhuli.

Je kama ni wewe ungefanya nini?

Hahahaah.... Wengine ndo sherehe huanza hapo.....lol
 
...kuna wakina dada wanasubiri ukiwa kwenye "chorus" ndio wanakwambia (kukuomba) kitu ambacho wanajua ukiwa ktk hali ya kawaida utasita kukikubali. Mfano: "Honey, utaenda lini kujitambulisha nyumbani kwetu?". Inaboa mbaya. I hate emotional blackmail!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom