Anatumia tendo la ndoa kama bakora ya kukutia adabu!

of coz ni tabia mbaya ku-manipulate mtu kwa kutumia kitu chochote ili kutimiziwa matakwa yako. lakini its a mare fact, mwanamke akiwa na huzuni ama hasira, sana sana utam'baka tu! unless wanawake wa zamani wenye maadili ya kina faiza foxy,ila kwa maliberali,lol! niulize tu swali: unapokua unaendelea na kuona mwenzio hafurahii kabisa tendo,unaweza kufurahia mwenyewe?

Hiyo ya huzuni, hasira, au simanzi ni kwa wote. Ila kwa wanaume nadhani ina athari zaidi maana binduki ikiwa limp haitaweza kufanya kazi yake ipasavyo na risasi hazitatoka.

Kwa mwanamke kidogo ni tofauti. Tendo linaweza kutendeka na hata akiwa mkavu kuna vilainishi bandia na yeye anaweza kujilaza tu na wewe ukafanya mambo yako na ukamaliza.

Sasa binduki ikiwa limp shughuli itafanyikaje?
 
sasa baba, ina maana ww ukipewa kama marital duty tu unaridhika? wengine akiwa na mihasira shurti uweke boriti kwanza manake madirisha hayafunguki na maumivu yake usiseme. bt what i disagree ni kufanya makusudi ili kupewa atakacho...
Hiyo ya huzuni, hasira, au simanzi ni kwa wote. Ila kwa wanaume nadhani ina athari zaidi maana binduki ikiwa limp haitaweza kufanya kazi yake ipasavyo na risasi hazitatoka.

Kwa mwanamke kidogo ni tofauti. Tendo linaweza kutendeka na hata akiwa mkavu kuna vilainishi bandia na yeye anaweza kujilaza tu na wewe ukafanya mambo yako na ukamaliza.

Sasa binduki ikiwa limp shughuli itafanyikaje?
 
Na mie natoka nje ya ndoa nikirudi naimba zangu Taarabu................. tena nakupiga mipasho ile ya kisawasawa............... mwenyewe utakaa chini..........eh!

Hapo utakuwa utafuta ban ya maisha sasa.
 
sasa baba, ina maana ww ukipewa kama marital duty tu unaridhika?

Hapana, katu hata kidogo! Kwa mujibu wa tajiriba yangu mimi wote wawili (au hata watatu na zaidi) mkiwa katika hali walau inayoshabihiana ndiyo kunakuwa na kufurahia.

wengine akiwa na mihasira shurti uweke boriti kwanza manake madirisha hayafunguki na maumivu yake usiseme. bt what i disagree ni kufanya makusudi ili kupewa atakacho...

Hapo nakubaliana na wewe. Ila kwa sisi wengine tulio na hisia ngumu kama jiwe ukitunyima wala hutabembelezwa. Utaachwa hivyo hivyo kama ulivyo na hakuna hata siku ambayo utaulizwa 'kheee mwafulani kulikoni ati?'
 
lol! sasa ya nini upewe usishibe? save the best for the last, afu unajua mambo ya makeup tena!
kama ukisepa unaona ni suluhisho,bora hiyo. ila namshangaa vukani kushindwa kumbembeleza mwandani wake hadi apewe. kama jk aliweza kutubembeleza watz 2000, mi sijui kama kuna lisilowezekana!
Hapana, katu hata kidogo! Kwa mujibu wa tajiriba yangu mimi wote wawili (au hata watatu na zaidi) mkiwa katika hali walau inayoshabihiana ndiyo kunakuwa na kufurahia.

Hapo nakubaliana na wewe. Ila kwa sisi wengine tulio na hisia ngumu kama jiwe ukitunyima wala hutabembelezwa. Utaachwa hivyo hivyo kama ulivyo na hakuna hata siku ambayo utaulizwa 'kheee mwafulani kulikoni ati?'
 
lol! sasa ya nini upewe usishibe? save the best for the last, afu unajua mambo ya makeup tena!
kama ukisepa unaona ni suluhisho,bora hiyo. ila namshangaa vukani kushindwa kumbembeleza mwandani wake hadi apewe. kama jk aliweza kutubembeleza watz 2000, mi sijui kama kuna lisilowezekana!

Halafu yaelekea wewe mbanifu sana wewe. Husninyo is a bad influence on you. Damn her na Mmasai wake!
 
Very simple!akikunyima unavumilia,na yeye siku amekukwaza halafu anataka unagoma!yaani ngoma droo.
 
Wanawake wote niliokwisha wajua, in one way or another, wanatumia s.ex kama negotiation tool, hasa mnapokwaruzana. Hata humu ndani ukifuatilia mabandiko mbali mbali, utaona wanawake wengi wakikili kuwa mme akimboa haoni ndani!

Matokeo: Kubakwa na waume zao, kupigwa, infidelity, ndoa kuvunjika kabisa. Hii ni mojawapo ya matatizo makubwa sana katika ndoa nyingi!

Kwa wanawake walio wengi, sex ni essential kwa ajili ya kumteka mwanamme anayemtaka. Akiona amemboa mwanaume na akajua kweli anamakosa, atamwachia mme ngoma; mwanaume akiigomea ni tatizo kubwa mno. Laikini vile vile kinyume chake vile vile hutokea. Yaani mwanamke akihisi mmewe kamuudhi, hachelewi kuitumia hiyo kama fimbo; na kisingizio ni kile kile anahasira hawezi kufurahia hiyo kitu!!

Ila mara nyingi mbinu hii inashindwa. Kwa sababu ugomvi mwingi ambao mmebalance; yaani wote mmechangia (ugomvi mwingi kwenye ndoa ni wa aina hii) mke atautumia kushinda! Ni magomvi machache sana kwenye ndoa ambapo mmoja anakubali kuwa ndo chanzo, hata kama ukweli ni kinyume chake. Kwa hiyo, mke akishaitumia mbinu hii mara moja au mbili na ikafanikiwa, basi hataacha, hadi hapo atakapopata negative consequenses. Wakati mwingine atakuwa akianzisha viugomvi mbuzi maksudi ili tu aepuke tendo.

Na ukweli ni kuwa wanawake wengi hasa wakishafika kwenye middle ages, sex inakuwa kama kazi. Yaani anaiona sex kama part ya chores na atafanya mbinu hii na ile kuiepuka unless awe anafanya kwa ajili ya kuhonga ili agenda yake iende!! Hapa ndo matatizo kwenye ndoa yanakuwa mengi sana na ndoa nyingi huvunjika hapa.

Hili la sex kutumiwa na wanawake kama negotiation tool ni jambo la ukweli na linatumiwa na almost kila mwanamke; tofauti ni frequency na mazingira. Mwanamke akishabanwa sana, silaha yake ya mwisho ni kuachia tu. Na akihisi hatendewi haki, vile vile silaha yake ni kubana tu!
 
we wa ukweli sana nimekukubali mtu mzima umeumiza kichwa
 
Wanawake wasiojua maana ya ndoa ndo zao hizo.
BTW, yule mzee wa 'infi' yuko wapi aje asaidie kutoa ufumbuzi hapa?
 
mapenzi ni zaidi ya sex, kitu cha dakika tuu ndio kikutoe roho wakati ulisha halalishiwa kuwa ni chako???
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom