anateseka

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,568
16,906
Habari.naomben ushaur wenu.dada yangu anasumbuliwa na matiti yaan yamekuwa na makubwa na yanatoka maziwa kabisa ila sio mengi sana.tatizo ni kwamba amepiwa ujauzito mara 4 ktk hospital tofauti lkn majibu yanaonesha kuwa hana ujauzito na hata ultra sound amefanya lkn hamna kitu,cha ajabu siku zake anapata kama kawaida.sasa naombeni ushauri ni tatizo gani linalomsumbua maana hata homonies zake alipima na zipo tu normal,je mnahisi tatizo ni nini?
 
Amejaribu kucheki kansa pia? na uvimbe ndani ya matiti?
 
Halafanya kwani kansa yawezekana kushambulia matiti yote kwa wakati mmoja? Ila hakuna maumivu yeyote

Mi si mjuzi wa mambo haya lakini bora angeenda kucheki kansa na inaweza ikashambulia matiti yote kama haikuwahiwa mapema. titi moja likaambukiza lingine na ndo maana mtu akikutwa nayo kama imefika stage ambayo inaweza kuhatarisha ziwa lingine unaona wanakata lile lililokuwa affected zaidi.
 
ningesema ni hormones imbalance,imetokea tu lakini kama wamempima na kukuta ziko sawa,sijui tatizo litakuwa nini....
 
kuna story nilisoma,kuna m.ke alikuwa anatoka maziwa kweni matiti yake,walimpima mimba hana,kupimwa zaidi,alikuwa na kansa
 
kuna story nilisoma,kuna m.ke alikuwa anatoka maziwa kweni matiti yake,walimpima mimba hana,kupimwa zaidi,alikuwa na kansa

Duh bora tu nimshauri kwenda hospital kwa uchungz zaidi.inaogopesha sana
 
Back
Top Bottom