anatengeneza antena

Judi wa Kishua

JF-Expert Member
Apr 15, 2012
1,066
1,047
Jamaa flani alipanda juu ya mabati ya nyumba wanayoishi ya ghorofa kutengeneza Aerial ya T.v.

Ghafla akateleza akaanza kuanguka,wakati yuko hewani ana anguka akamuona mke wake chini akipika.

Jamaa akasema kwa sauti,"Leo usinihesabu lunch nitakula hospitalini!"
 
sio mochwari? maana inaonekana hiyo distance ilikuwa ndefu sana...kutazama..kuona...kuencode..kusema...kama dk3 hivi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom