Anatamani kurudi

Kama nina kichwa cha panzi nitamrudisha nyumbani!

Kama nina akili zangu timamu, hakanyagi mlangoni kwangu, na kwa wakati nilipokuwa na shida nitakuwa nilijua kuwa hakuwa chaguo langu!
 
NN.....Lakini mbona wanawake ni watu wa kusamehe............. kwa nini asistahili msamaha ili apate kujifunza............!
If you don luv mi now don luv later,when my later is much better.(chriss martin).
 
Hakuwa wako huyo toka mwanzo............Mungu alikupitisha kwenye shida ili utambue hilo!....................Usilazimishe maji kupanda mkondo..............na kama kusamehe ulishamsamehe na ndio maana mungu amekubariki tena!
 
uyo ni kuchapa lapa 2, je akiugua ghafla ile ya kulala bed daily 2 yrs itakuwaje?
 
naungana na wewe kwenye hili jibu,hakufaa kuwa mwenza! Yeye mapenzi yake ni wakati wa raha tu shida hazijui! Samehe lkn usimrudie

Prisha,nina assume we ni mdada,mbona unakandamiza sasa jamani mwenzio?
 
i, bishanga abashaija, do hereby take you husninyo,as my lawful wife,and i promise to love,care and cherish you ......until kifo kitutenganishe.....(best man tf)
mkuu easily said than done ,hata sisi wanaume tunafanyaga mafyongo haya haya hasa mke anapougua kwa muda mrefu,wanaume kibao huwa wanajitia uwezo wa kuuguza umewaishia mke anaambiwa akaugulie kwao.....maisha haya bana we acha tu.

i like ur fairness! Napenda huwa humung'unyi neno ktk kuwananga hawa viumbe wa kiume. Big up bishanga
 
i like ur fairness! Napenda huwa humung'unyi neno ktk kuwananga hawa viumbe wa kiume. Big up bishanga

Sabry,too much longolongo mijibaba myenzangu ya humu mmu,inajitia yenyewe mi malaika kumbe loh hamna kitu,hasa Aspirin,hivi yuko wapi mbona hajaonekana uzi huu au umemgusa pabaya? Halafu kama anashabikia chelz ndo kabisaaaaa maana mechi ndo imeisha wako hoi,sisi asenali roho baridiiiiiii!!!! Ndo tunavuta shuka.
 
Prisha,nina assume we ni mdada,mbona unakandamiza sasa jamani mwenzio?

Bishanga mimi ni mdada lkn napenda niwe realistic mpendwa,ikiwa mwenza wako awe wa kiume au wa kike mlipendana kwa dhati hawezi kukukimbia wakati wa shida! Bishanga ukiona hivyo jua huyo alikupendea vitu so anapoona vinayoyoma mapenzi nayo yanayoyoma! Sioni kama huyo ni mke mwema likewise ingekuwa kwa mwanaume!
 
Bishanga mimi ni mdada lkn napenda niwe realistic mpendwa,ikiwa mwenza wako awe wa kiume au wa kike mlipendana kwa dhati hawezi kukukimbia wakati wa shida! Bishanga ukiona hivyo jua huyo alikupendea vitu so anapoona vinayoyoma mapenzi nayo yanayoyoma! Sioni kama huyo ni mke mwema likewise ingekuwa kwa mwanaume!
hapo sawa nakupata.
Nimemchokonoa Aspirin makusudi,mbona haji?
Sisi ndo wanaume bana (source:Aspirin).
 
I, Bishanga Abashaija, do hereby take you Husninyo,as my lawful wife,and i promise to LOVE,CARE and CHERISH you ......until kifo kitutenganishe.....(best man TF)
Mkuu easily said than done ,hata sisi wanaume tunafanyaga mafyongo haya haya hasa mke anapougua kwa muda mrefu,wanaume kibao huwa wanajitia uwezo wa kuuguza umewaishia mke anaambiwa akaugulie kwao.....maisha haya bana we acha tu.

hahahahahaha! Hiyo ndoa bibi harusi nilikuwa nimelala. Lol. Ila haya maisha jamani sijui kwanini watu wanakosa uvumilivu. Wapo wachache wanaoweza vumilia ila wengi yanawashinda. Kuna kipindi flani cha tv niliona mdada alikuwa na mchumba, huyo mchumba akapata ajali ikabidi akatwe miguu yote miwili... Kitu nilichompongeza yule dada alikuwa na upendo wa dhati hivyo akakubali kuolewa na jamaa (ingawa ndugu walimsimanga sana).
Wanawake wa sahv mume akisimamishwa kazi tu yeye anatafuta pa kutoke. Mume nae akiona mke anaumwa kama hivyo anamtransfer kwao badala ya kumuuguza. Kazi kwelikweli.
 
Hebu fikiria kwamba umefukuzwa kazi au kufilisika kimali, halafu mkeo au mpenzi wako anafanya visa na mikasa ya kila aina ili aweze kuachana na wewe. Hatimaye anafanikiwa na uhusiano wenu au ndoa yenu inavunjika.
Lakini miaka michache baadaye, Mungu siyo Athumani, unarudi kwenye ‘chati.’ Huyo mwanamke anapata taarifa huko aliko, na anaamua kujileta kwako, yaani kujipendekeza ili arudi. Hebu niambie, kama ni wewe ungefanya nini katika hili?

utafanya makosa makubwa sana kumrudia. Achana nae.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom