Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
- Thread starter
- #21
what do u mean by kuku wa kizungu huyo mumewe hataki afanye biashara nikisema anataka awe mama wa nyumbani cjui kama mnanielewa abaki tu home
endeleeni basi kutoa ushauri
Kwa ninavyomjua huyo mwanaume ni dikteta wa maamuzi wala hashauriki
Ameshakaa naye sana na hataki kuelewa anataka abaki mama wa nyumbani