Anatakiwa mchumba

Jan 3, 2011
5
0
I am a man of below 30 yrs
natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27
mcha Mungu(mi ni mkristu), mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake.
PM me please for further contact

I present
 
Ok, thank you for this usefull post, I will PM you, after three days.
 
mwalim eeeh?mwalimu wa primary,sec,chuo,chumbani jikoni,garage au mwalimu in general?mie mwalimu wa maakuli vp?
 
I am a man of below 30 yrs
natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27
mcha Mungu(mi ni mkristu), mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake.
PM me please for further contact

I present

Dogo karibu kundini. Walimu walio wengi ni wake wazuri sana. Nitakutafutia ticha aliyetulia.
 
Ndugu wewe unasifa gani zaidi ya umri wako tu ndio uliotuhabarisha? Mimi pia ni mwalimu lakini mwalimu wa unyago, would I be eligible also?
 
Toa sifa zako upate mwalimu wa secondary...kama na wewe utamfaa!
 
Sina kumbukumbu kama kwenye CV yako kuna sehemu umepitia ualimu.

No Matter How Far You Are , I ll`be There for You
A%20S-rose.gif
A%20S-heart-2.gif
.


 

Similar Discussions

Back
Top Bottom