Anatakiwa mchumba

Jan 3, 2011
5
0
I am a man of below 30 yrs
natafuta mchumba awe mwalimu, miaka kati ya 24-27
mcha Mungu, mwenye upendo, mkarimu, awe tayari kupima afya yake.
PM me please for further contact

I present
 
Do hizi application zimekuwa nyingi siku hizi; All the best Mkuu,

Am just curious kuna mwanajamvi yeyote alishawahi fanikiwa kwenye hii issue na kupata mwenza humu jamvini?

Pia Mods nashauri kuwe na Jukwaa La Singles.......... ili kukutanisha watu iwe rahisi
 
Wapo
 
Yaani umekosa wachumba huko uliko mpaka umeamua kuja kutafuta JF?
 
Yaani umekosa wachumba huko uliko mpaka umeamua kuja kutafuta JF?

jamani mchumba anapatika kokote tu...
kila mtu anajaribu bahati yake.....
labda Mwenyezi Mungu kampangia wa kwake yumo humu ..
hatuwezi jua mwache ajaribu bahati yake....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom