Anataka Urais lakini anaona taabu kusalimiana na waTZ

Ndoo viongozi wa CCM, siyo kusalimiana tu wanaona noma, bali pia haki ya kila m-Tanzania kupata huduma bora za kiafya, elimu, umeme, maji, usafiri pia wanaona noma.

mbowe kusalimiana naye elfu 20..!
 
sasa huyu naye anataka u-rais wa Tanzania.
View attachment 64519

Picha ya Mheshimiwa Membe alivyoshika mkono wa huyu mama kwa dharau kwa vidole viwili tafsiri ya haraka kwamba ni mchafu kwako wakati ndiye aliyemwezesha afikie alipo. Hii pekee inatosha kumwengua katika nafsi nyeti kama kiongozi wa watu.

Pamoja na udhaifu wa uongozi wa Kikwete, amejitahidi sana nafasi inapomruhusu kuchangamana na watu wa kila aina bila kujiona wa pekee kama afanyavyo Membe.

kikwete+albino.jpg
 
Huyo dogo jirani anayepiga picha ndo msaidizi aw membe kila safari dunia nzima yupo nae jamaa anafanya kazi za zaidi au usaidizi njaa noma sana
 
Back
Top Bottom