Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
Ndugu wana jf,kuna rafiki yangu ni mwanaume ana mchumba wake na ameisha mtambulisha kwao na wazazi wa pande zote wanajua uchumba wao,jamaa na mchumba wake wote ni walokole na wamekubaliana wasi do mpaka wawe wamefunga ndoa,siku za karibuni demu ameanza kumshawishi jamaa eti wavunje amri ya 6 kabla ya ndoa.jamaa anaomba ushauri wenu wana jf.