Anataka to-do, But No Love Relationship!!

Miezi miwili tu baada ya mumwe kusafiri na kutaka kusaliti ndoa kwa kuwa mumewe kasafiri ni kisingizio tu,huyo si mkweli katiak ndoa yake siku zote si ajabu anekuwa anakutamani siku nyingi sana hujui. pengine wewe kupia umechangia bila kujua, mazingira mnayotana ni rahisi sana wanawake kushawishika, hasa wanapokuwa wapweke, mi binafsi kwa msimamo wangu wa mahusiano nisinge muacha, maana na mzee wa kuhit and run, na huwa sirudii kitu nikipinga nimeaga , so sikushauri sana ufanye hivyo kwani mdada uliyenaye anakupenda na kukuheshimu bila shaka akifanya kama huyu dada avyotaka sijui kama utafurahi, na mkianza tu mchezo huo biashara hakuna tena , sikushauri kuchanganya mapenzi na biashara hamtakaa mheshimiane tena.
 
Hapa kuna maswali meni ya kujiuliza,
1. Iweje vikao vingine vya kibiashara mkutanie guest badala ya maeneo mengine kama hotelini?
2. Umesahau kuwa huyo ni mke wa mtu na attempt yeyote ya kumsaidia maana yake itakuwa unatembea na mke wa mtu?
3. Huoni kwa kumsadia huyo dada utakuwa umemsaliti GF kirahisi?
4. Huoni kuwa kumkubalia huyo dada ni kujidhalilisha (kuwa cheap), anyone anaweza akakutaka tu pale anapojisikia hamu-kwa kifupi huna thamani na huoni thamani juu ya mwili wako?
5. Unayajua madhara ya kufumaniwa?
6. Na mwisho nyie mmekuwa kuku au paka au panya kushiriki tendo la ndoa bila mapenzi?

Na log off!
dont log off bwana.
7. Ukishaaingiza ngono hata biashara au hizo 'deals' zinakuwa hatiani
 
kagonge tu,nikama kwenda pale Jolly,unapiga unaendalea na mambo mengine!....ila lazima hata wewe utanogewa na baadae utaanza kumwonea wivu hata mumewe,hakika,mapenzi hujengeka na kukua..
 
Wewe unaonaje?
Maswali mengine bwana, ni kutaka kujua hisia za watu tu. Uko naye kwa hotel, kakwambia hayo mpaka unaachana haujajua cha kufanya au kutofanya siamini. Be frank sema you did it and you feel bad, bado tutakuelewa tu!

Haki ya Mungu sijamla.
Tumekubaliana tukutane leo jioni.
Nafikiria kumwambia nimepata msiba wa ghafla Morogoro kisha nikakata ticket ya kizushi.
Aliniambia nichukulie tu kama shida zengine ya kifedha tinazosaidianaga na kua eti sisi ndio tuna-complicate wakati ni issue ndogo tu.

Nimejaribu kutafuta consultations from my friend, nikaambiwa nimwambie kua mimi ni muathirika labda araniacha, napo naona sio poa kusingizia huu ugonjwa,

Ila ukweli SIJAMLA!!
 
Ushauri wangu usithubutu kutembea na mke wa mtu, hilo kosa utalijutia maisha yako yote. Pia anaweza akawa anakutega, mchezo wa fumanizi ufanyike ulipe fidia mihela kibao. Kuna Mke wa rafiki yangu alimtega Padri aliyekuwa anamtaka kimapenzi, wakakubaliana na mumewe na fumanizi likafanyika, mume akamuamuru Padri kulipa Million 2.5 ili kuficha kumuaribia kazi wakajipatia mtaji. Kuwa makini na wafanya biashara ndugu yangu, watu wana mbinu nyingi za kujipatia pesa. Kuwa makini na umuogope Mungu kitendo cha muda mfupi kinaweza kuyaharibu maisha yako kabisa. NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE. Kama utatembea naye ujuwe na wewe siku moja utafanyiwa hivyo hivyo tena kinyume na maumbile.
 
Good!
Hiyo ya kudanganya ni kuahirisha tatizo, ni bora umwambie ukweli; mwambie unamthamini kiasi cha kutosha kiasi kwamba huwezi kumreduce kwa one night stand, kwamba unamuheshimu mumewe kiasi kwamba hutaki kumsaliti na kuwa unampenda kiasi cha kutotaka mahusiano yenu yawe compromised kwa sex na vitu vinavyoambatana navyo. Mwambie unaelewa they way anafeel, na kwamba hadi kukueleza shida yake inamaana anakuamini; mwambie hautajali kama atatafuta solution nyingine/kungine na kwamba hautainterfere kabisa.

Say it in a way ambayo itaonesha unajali na unamuelewa.
 
Hello Wanabodi,

Kuna mdada mmoja ambae amekua rafiki yangu kwa muda mrefu sana. Huyu dada tumekua tukifanya biashara mbalimbali za hapohapo (deals) pamoja kwa muda mrefu tu.

Ni kawaida nikiwa na deal namuita chemba labda guest, bar, hotel, kwake, kwangu, beach n.k tunaongea, nae hivyohivyo, tuko kifedha tu. Pia anaweza akawa ama shida ya Tshs kadhaa nikamkopa, nami pia hivyo. Anamjua Gf wangu, nami namjua Mumewe. Sijawahi kum-feel kimapenzi (sijui upande wake)

Sasa jana akaniita chemba (hotelini) tuongee kwani kuna issue/biashara anataka anipe. Kukutana nae zikaanza story za hapa na pale, huku tukijaribu kukumbushiana biashara zilizopita zilivyofanikiwa na nyingine zilivyofeli.

Story zilikua nyingi sana huku akikawia kwenda kwenye point (sio kawaida).

Baadae ndio akadai eti mumewe kasafiri mwezi wa pili sasa hivyo haja-do muda mrefu na anaskia SANA hamu. Alidai yuko serious na nichukulie kama namsaidia tu kama rafiki. Nilimuuliza kama ana feelings zozote za Mapenzi kwangu akadai ananichukulia kama kaka tu ma mshirika wake wa karibu. Aliniambia nisimuangushe, na ananipa Jana mpaka leo kujiandaa, but leo jioni KUSAIDIANA TIME!!

Nimemuuliza hatanogewa akataka tena, na mumewe akijua itakuaje akajibu nichukulie kama ni ombi la kawaida tu kama mengine ya kusaidiana kifedha. Hivyo ya mumewe nimuachie mwenyewe.

Wanabodi,
Leo jioni ndio time, mdada ni best yangu sana, tuseme tunawekana mjini kwa Biashara tufanyazo,

Ushauri wenu.
1) Nikamsaidie shida yake??
2) Ku-do bila kua kwenye mahusiano kuna ladha gani??
3) Any other ushauri!!

Aisee hujafika tu eneo la tukio mbona unachezea bahati wahi faster kajitume acha kupoteza muda.na ukitoka huko ulete feedback.
 
Ushauri wangu usithubutu kutembea na mke wa mtu, hilo kosa utalijutia maisha yako yote. Pia anaweza akawa anakutega, mchezo wa fumanizi ufanyike ulipe fidia mihela kibao. Kuna Mke wa rafiki yangu alimtega Padri aliyekuwa anamtaka kimapenzi, wakakubaliana na mumewe na fumanizi likafanyika, mume akamuamuru Padri kulipa Million 2.5 ili kuficha kumuaribia kazi wakajipatia mtaji. Kuwa makini na wafanya biashara ndugu yangu, watu wana mbinu nyingi za kujipatia pesa. Kuwa makini na umuogope Mungu kitendo cha muda mfupi kinaweza kuyaharibu maisha yako kabisa. NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE. Kama utatembea naye ujuwe na wewe siku moja utafanyiwa hivyo hivyo tena kinyume na maumbile.

Hilo la kupangiwa mipango ya kufumaniwa nimelifikiria, but nimekuja kufikiria sio kwani anajua kua michezo hiyo naijua (Mojawapo ya deals tulizowahi kucheza ni hilo).
 
Chukulia ume do nae
na ukamkopesha pesa

jiulize....asipokulipa utamdai?????????/
Boss,
Nishafanya deals kibao na huyu dada na hatujawahi kuzikana hata siku moja. Hizo ni mbali na zile za kusaidiana ambazo hua hazirudi ambazo zishatokea kwake na kwangu.
Sasa kufananisha hiki anachotaka na zile biashara kidogo napata ugumu!!
 
Hello Wanabodi,

Kuna mdada mmoja ambae amekua rafiki yangu kwa muda mrefu sana. Huyu dada tumekua tukifanya biashara mbalimbali za hapohapo (deals) pamoja kwa muda mrefu tu.

Ni kawaida nikiwa na deal namuita chemba labda guest, bar, hotel, kwake, kwangu, beach n.k tunaongea, nae hivyohivyo, tuko kifedha tu. Pia anaweza akawa ama shida ya Tshs kadhaa nikamkopa, nami pia hivyo. Anamjua Gf wangu, nami namjua Mumewe. Sijawahi kum-feel kimapenzi (sijui upande wake)

Sasa jana akaniita chemba (hotelini) tuongee kwani kuna issue/biashara anataka anipe. Kukutana nae zikaanza story za hapa na pale, huku tukijaribu kukumbushiana biashara zilizopita zilivyofanikiwa na nyingine zilivyofeli.

Story zilikua nyingi sana huku akikawia kwenda kwenye point (sio kawaida).

Baadae ndio akadai eti mumewe kasafiri mwezi wa pili sasa hivyo haja-do muda mrefu na anaskia SANA hamu. Alidai yuko serious na nichukulie kama namsaidia tu kama rafiki. Nilimuuliza kama ana feelings zozote za Mapenzi kwangu akadai ananichukulia kama kaka tu ma mshirika wake wa karibu. Aliniambia nisimuangushe, na ananipa Jana mpaka leo kujiandaa, but leo jioni KUSAIDIANA TIME!!

Nimemuuliza hatanogewa akataka tena, na mumewe akijua itakuaje akajibu nichukulie kama ni ombi la kawaida tu kama mengine ya kusaidiana kifedha. Hivyo ya mumewe nimuachie mwenyewe.

Wanabodi,
Leo jioni ndio time, mdada ni best yangu sana, tuseme tunawekana mjini kwa Biashara tufanyazo,

Ushauri wenu.
1) Nikamsaidie shida yake??
2) Ku-do bila kua kwenye mahusiano kuna ladha gani??
3) Any other ushauri!!
Yeye anakuchukulia kama Kaka ila wewe unamuona Best yako mno! Ukamuuliza kuhusu feelings za mapenzi na mara mume wake akijua itakuwaje, yote haya ya nini? Hili jukwaa ni la Great Thinkers bwana, acha kuzuga. Wewe ndio unamtaka huyo dada ila hapa umewasilisha kinyume chake! Sasa kama yeye anakuchulia kama kaka yake, mbona ulimuuliza maswali ya kuzunguka badala ya kumchapa swali moja tu la msingi, amablo ni " Hivi inawezekanaje Kaka akatenda tendo la ndoa na Dada yake?"? Kama hili swali hukumuuliza, what a contradiction! Peleka upuuzi wako kwenu!
 
Aisee hujafika tu eneo la tukio mbona unachezea bahati wahi faster kajitume acha kupoteza muda.na ukitoka huko ulete feedback.

Mkuu,
Muda bado, mpaka jioni. But kuna % kubwa sintoenda!! Kusaidiana kuondoa hamu bila kua na mahusiano sidhani kama imo!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom