Anataka nini huyu

haaaa kweli jamani, utakuwa wewe ndo picha/pacha wangu. aliniambia baba siku moja kwamba sie tukoo wawili....aaaha naskia raaahaaaaa

Huuuureeeeee, finally nimekupata ngoja nimpigie thim anko nimpe habari njema? Vip wazima lakini best!
 
msubiri aje, then panga safari, funga nyumba ondoka. Then zima simu kama unayo ya kichina ( simu) nenda kwene call setting kuna huduma ya ku-blacklist, yaani yeye tu ndo hakupati... ahaaa tutaongea baadae bana

Nashukuru sana
 
My dear,you are simply a back up plan,not a priority,please please value yourself and show him you worth what he can not afford to give you.....even if he gives you the best game ever,for once show him,the world does not revolve around him and he can donate his sperms somewhere else to those who are cheap which on my view he deserve them..............aaaaaaaaaaaaaah men again!

Thanx Michelle
 
Huuuureeeeee, finally nimekupata ngoja nimpigie thim anko nimpe habari njema? Vip wazima lakini best!

haya fanya fasta ili npate mtu wa kunilipia kodi ya nyumba...hahahahaaaa yaani mie nateseka mjini jua kali kumbe nina ndugu kibao....
 
Mmh basi amuonee tu huruma....sasa tusemeje kumbe!! Maana hapa mtashauri nyie weeeee, baaadae anaenda kutusemea, wanawake hawa bana

Sema wewe kiazi, nikisema mimi muhogo watasema nina mizizi!!!!
 
haya mie naondoka ofisini naenda sasa kupumzika, fanya hivyo then utatupa feedback, iwayo yoyote, kama utamkubali au utamkatalia basi tujue tufurahi
 
Huyo anakuja kukumega wewe cha kufanya na wewe mkwepe akishuka stand mwambie umesafiri kikazi wiki 2 atie akili eeeh si mpo marafiki sasa aje kwako kufanya nini wkt nyie marafiki
 
Huyo alikuwa na mtu aliyekuwa anamzingua ndo maana akaamua kukuacha,Sasa inaonekana ameachwa yeye so anakumbuka shuka asubuhi,wakati Mbu wameshamfyozaa wee mpaka basi.Auna aja ata ya kuonana nae wewe Mpotezee tu.Anakuletea Shombo huyo,kwanza mwaka wenyewe ndo unaanza asije kuletea mikosi

Nashukuru kwa ushauri mzuri, kidude cha senks sikioni hapa
 
haya mie naondoka ofisini naenda sasa kupumzika, fanya hivyo then utatupa feedback, iwayo yoyote, kama utamkubali au utamkatalia basi tujue tufurahi

siwezi kumkubali, nilimbembeleza sana kipindi kile ikashindikana, basi tena
 
haya fanya fasta ili npate mtu wa kunilipia kodi ya nyumba...hahahahaaaa yaani mie nateseka mjini jua kali kumbe nina ndugu kibao....

Umepanga! Isijekuwa unaishi uswahilini! kuna nyumba za family utachagua wewe, anko anatamani sana kukuona.
 
siwezi kumkubali, nilimbembeleza sana kipindi kile ikashindikana, basi tena

Huwa mnasema hivi hivi akija kapiga zake pamba na wewe kakuletea fuko la zawadi huwa mnasahau machungu na kusisitiza yaliyo pita si ndwele tugange yajayo jamaa baada ya kukutumia linakuachia maumivu tena.
 
siwezi kumkubali, nilimbembeleza sana kipindi kile ikashindikana, basi tena
keep your words to yur heart, aaha ngoja niondoke jamani, wifi yenu mkali atanichapa mjue.....ohoooo
 
Umepanga! Isijekuwa unaishi uswahilini! kuna nyumba za family utachagua wewe, anko anatamani sana kukuona.
ndio, naishi tandale karibu na local-made seawage system, wala sina hata shida ya perfume, asante mwambie ntampigia kama voda watatoa promosheni
 
Huwa mnasema hivi hivi akija kapiga zake pamba na wewe kakuletea fuko la zawadi huwa mnasahau machungu na kusisitiza yaliyo pita si ndwele tugange yajayo jamaa baada ya kukutumia linakuachia maumivu tena.

Na ukizingatia wamesha achana zaidi ya miezi sita, na dada anaonekana hana mtu mwingine. Kwa hiyo naye ana hamu ya muda mrefu! Tungependa kupata feeback ya hii topic toka kwa huyu dada chimala jamani! Nina mashaka kama atayashinda majaribu!
 
Back
Top Bottom