Anataka nini huyu

chimala

Senior Member
Jul 2, 2010
156
30
Habari wana Jf,

Mwenzenu nilikuwa na boyfriend, uhusiano wetu ulidumu kama mwaka mmoja hivi, baadae akaniambia tuyaweke mapenzi pembeni na tuwe marafiki wa kawaida tu, kwa kuwa nilimpenda sana sikukubaliana na hilo ombi lake, akazidi kusisitiza kwamba lazima tuwe marafiki , nilimbembeleza sana lakini hakubadili msimamo wake, sikuweza kusitisha mawasiliano na yeye, tumeendelea kuwasiliana kwa zaidi ya miezi 6 bila ya kuwa na mahusiano, sasa jana kanitumia message ati anataka kuja kunitembelea nyumbani na atakaa week nzima, na pia akasema kuanzia hiyo jana simu zangu atakuwa apokei ila atakuwa anapiga yeye tu, Jamani mwenzenu sielewi anakuja kutafuta nini nyumbani kwangu na kwa nini kaniwekea masharti nisimpigie simu
 
Akija mdanganye mwambie "mvua zinanyesha" ili asiweze kulamba asali....iotherwise kuwa muwazi kwake, if you still feel da game, mjulishe aachane na masharti kama ya mganga wa kienyeji. Pole
 
akizidi kukusumbua mpe namba yangu...mwambie mie kaka yako, si unayo bado au uliifuta??
 
kashakuona kipoozeo,joto bongo limezidi sasa anataka kuja poaaza kidogo
 
huyo anataka kukutumia tu..achana naye,subiri atokee atakeyekupenda zaidi,...mwonyeshe msimamo na wewe,hutaki kuwa naye zaidi ya kuwa marafiki tu!...ila na wewe kwa nini ulikubali aje kukaa kwako kwa muda wa week???alivyokuambia hivyo ungemkatalia hapo hapo!
 
akizidi kukusumbua mpe namba yangu...mwambie mie kaka yako, si unayo bado au uliifuta??

Eh best naona majina yetu yanafanana kidogo! halafu niliwahi ambiwa nina ndugu/pacha Unaweza kuwa wewe nini?? I'm dying to meet with him/her
 
Anataka ku du the NIDFUL then asepe!!!
Unajua sisi wanaume wa ajabu sana hata mimi iliwahi kunitokea coz dem alinifanyia vi2ko!!
Ikabidi niwe NAMEGA kisela kama jamaa yako anavosema!!!!
TAKE CARE huyo ni MWIZI wa PENZI lako!!!
 
Hapo kuna mchezo mchafu wa mapenzi unachezewa bila ya wewe kujijua,bahati mbaya uliyonayo ni kuwa umekwishatekwa kimapenzi hata kama mmeyabadili kuwa ya kirafiki.
Masharti anayokupa yanatia mashaka na huna haja ya kumkaribisha kwako maana kitendo hicho unajitafutia matatizo,ikiwezekana mwambie muendelee tu kuwa marafiki na haina haja ya yeye kuja kwako,lakini kama unampenda na unataka kuumia basi mkaribishe.
 
Eh best naona majina yetu yanafanana kidogo! halafu niliwahi ambiwa nina ndugu/pacha Unaweza kuwa wewe nini?? I'm dying to meet with him/her
haaaa kweli jamani, utakuwa wewe ndo picha/pacha wangu. aliniambia baba siku moja kwamba sie tukoo wawili....aaaha naskia raaahaaaaa
 
Akija mdanganye mwambie "mvua zinanyesha" ili asiweze kulamba asali....iotherwise kuwa muwazi kwake, if you still feel da game, mjulishe aachane na masharti kama ya mganga wa kienyeji. Pole

Mvua zinyeshe wiki nzima? Na anaujua udhaifu wa mtoa mada hapa, lazima atapewa bado tu!
 
My dear,you are simply a back up plan,not a priority,please please value yourself and show him you worth what he can not afford to give you.....even if he gives you the best game ever,for once show him,the world does not revolve around him and he can donate his sperms somewhere else to those who are cheap which on my view he deserve them..............aaaaaaaaaaaaaah men again!
 
sijaifuta bado, ntamtumia
msubiri aje, then panga safari, funga nyumba ondoka. Then zima simu kama unayo ya kichina ( simu) nenda kwene call setting kuna huduma ya ku-blacklist, yaani yeye tu ndo hakupati... ahaaa tutaongea baadae bana
 
My dear,you are simply a back up plan,not a priority,please please value yourself and show him you worth what he can not afford to give you.....even if he gives you the best game ever,for once show him,the world does not revolve around him and he can donate his sperms somewhere else to those who are cheap which on my view he deserve them..............aaaaaaaaaaaaaah men again!

Michelle, she wishes she would be having those guts! Hata jamaa mwenyewe anajua kwamba huyo binti anampenda, ndio maana he is taking her for granted! Mwanaume anakuambia tuachane unamng'ang'ania matokeo yake ndio hayo sasa anakuweka kwenye kundi la mapoozeo halafu unalalamika! Get a life!
 
Mvua zinyeshe wiki nzima? Na anaujua udhaifu wa mtoa mada hapa, lazima atapewa bado tu!
Mmh basi amuonee tu huruma....sasa tusemeje kumbe!! Maana hapa mtashauri nyie weeeee, baaadae anaenda kutusemea, wanawake hawa bana
 
huyo anataka kukutumia tu..achana naye,subiri atokee atakeyekupenda zaidi,...mwonyeshe msimamo na wewe,hutaki kuwa naye zaidi ya kuwa marafiki tu!...ila na wewe kwa nini ulikubali aje kukaa kwako kwa muda wa week???alivyokuambia hivyo ungemkatalia hapo hapo!

Sikumkaribisha Rose, yeye tu huko aliko kaamua kutuma message kwamba anataka kuja sijamjibu mpaka sasa hivi, nadhani nimwambie asije tu
 
Huyo alikuwa na mtu aliyekuwa anamzingua ndo maana akaamua kukuacha,Sasa inaonekana ameachwa yeye so anakumbuka shuka asubuhi,wakati Mbu wameshamfyozaa wee mpaka basi.Auna aja ata ya kuonana nae wewe Mpotezee tu.Anakuletea Shombo huyo,kwanza mwaka wenyewe ndo unaanza asije kuletea mikosi
 
Back
Top Bottom