Anataka mimi tu

Mbadilikie...akikuuliza mbona hujanipigia unamwuliza mbona WEWE hujanipigia?Watu wa aina hiyo wanaboa...ila wengine ni tabia tu haina maana wewe sio muhimu kwake!Kama unaweza kaa kimya kama siku mbili au hata tatu uone kama hatakutafuta!

Wewe unatka mwenzako aaachwe. Wanaume wenyewe tuko wachache mjini, shauri yake!
 
hauna dhamani kwake yeye kupoteza credit kwako, anakusaidia tu huruma kukuacha na as ndio hivyo wewe lipia gharama
fungua macho labda unamng'ang'ania

au unapiga simu sana bila kumpa break
 
dada changamaka vinginevyo kama mdau alivyosema utakuta mwana si wako, kwanza kama hajachakachua hata mara moja basi haoni umuhimu wa kukupigia marakwa mara. wwe kama unampenda kikweliiiiiiii jitahidi kumuweka karibu yako utaona mwenyewe mpaka itakuwa kero kwako
 
Mwanamke uwe na pozi,usijitume sana ukaonekana desperate,tulia kidogo uone kama hakutafuti nafikiri you deserve better,muache mama utampata mwingine,kumbadili mtu ni ishu kubwa,kama hukubaliani na anachofanya,muonyeshe na umwambie.Hataki,hukupangiwa huyo songa mbele.

Michelle mi nimekuzimia, inshort nipotayari kuuza nyumba ya urithi ikibidi. Sitaki kupost search wakati target naiona pls reply, Im waiting to hear from u
 
mmmhhh jamani kwanini usiongee naye na umweleze nini kinakusibu..
mbona mambo madogo tu hayo...
 
.... yaani simu ndo mapenzi ? Unless utoe more details kama mnaishi mbali-mji, mkoa, inji, bara ect, na mnapopigiana mnaongea nini. Hii haijatulia kabisa.....
 
Dawa yake wewe chagua siku ambazo unaona huwa mnakuwa beneti sana na tafuta safari ya peke yako na ukifika huko kaa kimya bila kumtafuta hata kwa siku mbili,ukiona hajakutafuta basi ujue hana haja nawe na mapenzi yenu ni ya upande mmoja hivyo chukua hatua.
Ukianza jiuliza maswali mengi mwisho wake ni kujiumiza tu kichwa.


Itabidi nijaribu kufanya hivyo, yaani utata mtupu!
 
Kumbe jibu umeshalipata mpenzi sa nini kujiumiza kichwa? mpishe fasta kabla hajakupisha yeye utaumia zaidi

Roho bado haijakubali bana, ok slowly ntampisha but napambana kwanza nione mwisho wake
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom