Anataka kuzaa na mtoto mdogo

kaka sinamahana mbaya hata kama angekuwa mdogo wako bado ningeumia kifikira zangu nilitegemea angetafuta m2 anaekaribia umr au wanaringana umri yan ingekuwa rahs hata yeye kuja kubadil mawazo na kuja kumuoa lakn huyu itakuwa vigumu kuja kubadil fikira

Kama kweli unaona tendo hilo sio jema, tafuta nafasi uongee na msichana huyo kama kaka yake umuambie mapemaaaa nia iliyoko sio ya kuolewa ila kugeuzwa mashine ya kufyatulia mtoto/watoto (maana hatujui atamzalisha wangapi). Kisha muache aamue mwenyewe kama anataka kugeuzwa incubator.
 
hapo sawa na nitajitahid kufanya hvyo mkuu
 
kaka tatzo anapesa na ameona umri umzid kwenda

Atafute wa umri wake wapo kibao aachane na huyo binti ama vinginevyo umwulize huyo binti kama anataka kuolewa nae na sio kuzaaa.

Kwa huyo binti hana upendo naye kabisa
 
kwa nini awe na hamu ya kuzaa na mtu ambaye hana future nae??? huyo ni mharibifu maana huyo bint wa miaka 18 bado ana safari ya kwenda kimaisha na kielimu .. kitendo cha kumjaza huyo biinti mimba tayari atakuwa amemletea kutokuelewana na familia yake .. ni vyema akaachana na huyo binti atafute atakaemuoa ndo amzalishe
 
Ikiwa amempiga marufuku kukuona na yeye (msichana) kakubali, inaonesha huyo rafiki yako tayari ameshajenga utawala hapo, huna la kufanya. Kisheria miaka 18 tayari ni mkubwa wa kutakiwa kutoa maamuzi yake.

Ikiwa ulikwishawahi kumpa ushauri na bado anafuata anayoambiwa na huyo jamaa, hakuna la kufanya isipokuwa kujaribu kurejesha urafiki naye kwa ajili ya hiyo misaada unayopewa, lakini kumbuka kuwa kufanya hivyo ni kujidhalilisha.
 
He sounds selfish to me.... hata kama akitafuta mwenye miaka 40, 10, 30, but he still sounds very selfish!!! All he needs is a change of perspective.
 
Ikiwa amempiga marufuku kukuona na yeye (msichana) kakubali, inaonesha huyo rafiki yako tayari ameshajenga utawala hapo, huna la kufanya. Kisheria miaka 18 tayari ni mkubwa wa kutakiwa kutoa maamuzi yake.

Ikiwa ulikwishawahi kumpa ushauri na bado anafuata anayoambiwa na huyo jamaa, hakuna la kufanya isipokuwa kujaribu kurejesha urafiki naye kwa ajili ya hiyo misaada unayopewa, lakini kumbuka kuwa kufanya hivyo ni kujidhalilisha.

haswa hyo kudhalilika ndo huwa ctaki mana kama akifanya hvyo mimi na jamaa wote 2taonekana ha2na maana khs bint anamdanganya kwa v2 vidogo vidogo mana huyu jamaa ni m2 mzma na anajua njia zote za kumteka huyu bint mpk ninavyosema ameamua kutoongea na mm takriban wiki sasa
 
kwa nini awe na hamu ya kuzaa na mtu ambaye hana future nae??? huyo ni mharibifu maana huyo bint wa miaka 18 bado ana safari ya kwenda kimaisha na kielimu .. kitendo cha kumjaza huyo biinti mimba tayari atakuwa amemletea kutokuelewana na familia yake .. ni vyema akaachana na huyo binti atafute atakaemuoa ndo amzalishe

kaka ckatai unajua sheria ni mkubwa lakn kiali huwa m2 ajafunguka ila okay bint co anataka kuzaa ila jamaa anavyo mdanganya huyu bint na yeye anakila ki2 hvyo bint hajui lengo la jamaa kwake na ndo hvyo inakuja mm ninaejua ninajarbu kumuepusha na hzo ki2 nazan umenielewa
 
kashtaki kwa wazazi wakee!!!

kuhusu wazaz wake kwenda kushtak nimesha kwenda ila wazaz wake co waelewa kwan walinibeza na kuniambia tatzo lipo wap cwaelew japo kama mzaz wake wa kiume anajalibu kufuatilia lakn jamaa kama anajua mana ana2mia hotel kubwa kubwa ili kudhibit hayo vkwazo
 
Habar zenyu wanathnker ninaomba mnisaidie jaman ninarafik yangu wa karbu anaumri 30 na anauwezo na kila ki2 na ananisaidia katka biashara zangu. Mara ya mwisho baada ya kuona hana jins akaniambia anataka kuzaa na msichana ilimrad awe na mtoto wakat anaendelea kutafuta mke taratibu. Na mm kwakuona umri wake kwel umekwenda nikamkubalia wazo hilo. Sasa tatzo linakuja amejenga mazoea na msichana mdogo (ambaye ni rafiki wa mdogo wangu wa kike pia) 18 ambae amemaliza form 4 hv juz na ameniambia anataka kuzaa nae. Mimi huyo msichana ananiheshimu kama kaka yake baada ya jamaa kujakuniambia anataka kumzalisha yule msichana hatuelewan kabisa baada ya mimi kumpinga kias kwamba kampiga marufuku yule msichana kuja home. Alafu pia kamkataza kuongea na mdogo wangu je wanathnker nifanyeje nimuokoe huyu mdogo wangu?

Jitolee tu kwa gharama yoyote, nenda kawaambie wazazi wa huyo binti. Wamkanye binti yao na watafute jinsi ya kumuepusha na huyo jamaa. Usipofanya lile uwezalo huyo binti akija kupata mateso ktk maisha yake, litakusumbua sana moyoni hili jambo. Usichelewe wala usisubiri fanya sehemu yako/kile uwezacho walau huyo binti awe anajua kabisa mwisho wa hayo mahusiano unaweza kuwa kilio maisha yake yote.

Halafu yeye achague mwenyewe. Kuna neno moja linasema Nimeweka walinzi kwenye kuta zako ee Jerusalemu, hawata lala mpaka mpaka umekuwa Imara...samahani kama sijaisema vizuri hiyo!! Lakini walau maana yake ni hiyo kwamba wewe ni mlinzi pale ulipo uonapo uovu ukauzuia au ukaukemea utakuwa umeifanya kazi ya Mungu!

Barikiwa!!!
 
senkyu sana LD tatzo linakuja kwa wazaz wake nilipo kuwa nimekwenda kuwaambia zaid ya mara tano mana hata kabla hawaja mtafutia chuo dar niliwashaur wamtafutie chuo mkoan ili iwe kaz kwa jamaa kuto onana na huyu bint tena niliwashaul waende wote wawili yan bint na mdogo wangu lakn cha ajabu cjui nini kilichotokea matokeo yake mdogo wangu amekwenda mkoa na yeye amebak hapa dar na nilijitahid waweze kwenda wote wawil na nikasema nitaweza kuwasaidia pale watakapo kwama na hvyo ndivyo ilivyokuwa mwanzo wakiwa secondary nilikuwa nafanya hvyo ila kwa sasa ni duuh jamaa ndo kabadili cjui yan hata cjui ni nini chanzo mana wazaz wake hawakubal hata kunickiliza
 
Kwa kuwa umefanya sehemu yako hujaeleweka huna haja ya kuhangaika tena. Kama njia ingine iliyopo kwenye uwezo wako ifanye lkn kama hakuna. Nawa mikono huna hatia kwa dhambi hiyo.

Manake kama wazazi wenyewe hawakuelewi unadhani hata huyo binti atakuelewa? Labda tuombe neema ya Mungu imfungue ajitambue.

Nimewahi kuona baba mmoja anamuuza binti yake kwa mwanaume fulani hivi tajiri!! Kwa hiyo huenda hao wazazi wameshapata cha kwao!!!!
 
nam ninafikir iwe hvyo ila roho inauma pale ninapokutana na wa2 wanaponiambia nimemuuza yule bint kwa rafiki yangu kumbe kumsaida kote kule nyuma lengo langu nije kumuuza hapo ndo ninapojisikia vibaya zaid japo nimeanza kufikia ukingon mana inanibid nizoee pasipo stail kuzoea mana ninajiheshimu ndo mana ninaboreka na tabia hii
 
Pole sana, ila wakati ambapo akili zetu zimefika mwisho tunatakiwa pia kurudi kwa Mungu.
Hebu jadribu kumuomba Mungu anyooshe mkono wake kwa ajili ya hilo.
Mungu anaona unavyoumia, na pengine anataka urudi kwake ili yeye ajitukuze kupitia wewe kwa kumuokoa huyo mtoto mikononi mwa huyo
tunayemuona ni mharibifu.
 
Umeshasema ana miaka 18 na kamaliza secondary huyo hana udogo labda kama ulikuwa unamtaka na jamaa kakunyang'anya tonge mdomoni.
mmh wew jaman
mwenzio ana muonea huruma ...mbona ivi wewe?
alichomshauri jamaa ni kweli iweje amzalishe na miaka 18?
wewe utafurahi mdg wako wa miaka 18 watu wamzalishe?
ebu kua mtu kdg
 
Hivi mpaka anaamua kumzalisha mtu anakuwa hajampenda tu, nini kinamuogopesha kuoa? isikute anakwepa majukumu ya ndoa, ikiwa hivyo, atawezaje kulea mtoto?
 
Pole sana, ila wakati ambapo akili zetu zimefika mwisho tunatakiwa pia kurudi kwa Mungu.
Hebu jadribu kumuomba Mungu anyooshe mkono wake kwa ajili ya hilo.
Mungu anaona unavyoumia, na pengine anataka urudi kwake ili yeye ajitukuze kupitia wewe kwa kumuokoa huyo mtoto mikononi mwa huyo
tunayemuona ni mharibifu.

labda kwa hlo mana mpaka sasa sina jinsi na ninashindwa kumuelewa huyu m2 mzma na akil zake yan cjui nisemeje jaman okay mungu anajua nitam2mia yeye aniondoze kwa hlo
 
Back
Top Bottom