Anataka kuupamba mti wangu Xmas eve

Ina maana anapamba MTI tu na MATAWI yake nani atapamba??!!
Hivi wewe MTI anaouzungumzia ni wa Xmas 2 so ikiisha huo MTI unaenda wapi??!!

Jamani kuna dada amesema Xmas eve anataka aupambe mti wangu kwa mapambo na raha zisizo kifani.
najiuliza ni mti gani huo maana mi sijanunu mti wa Xmas
 
anchanganya ati....sredi zingine anachukua play role za kike...zingine za kiume basi mushikila tupu!

Huyu ni Bujibuji

images
 
Kumbe mi namfahamu kabisa, kila siku huwa namuona akipita pale daraja la jangwani mida ya saa kumi na moja.
 
Haha ahhaahahaha ahaha ha ah abuji leo umenibastisha mbavu ile mbaya.
Kumbe mwenzetu unatembea na mkrismas trii kabisa huku ukisakasaka vimodo vya kuupamba?
 
Jamani kuna dada amesema Xmas eve anataka aupambe mti wangu kwa mapambo na raha zisizo kifani.
najiuliza ni mti gani huo maana mi sijanunu mti wa Xmas

Hili swali ningemuuliza shangazi yangu enzi zile angenijibu " ngambo ngali, ulindema"???????

Enjoy your X mas,
 
Back
Top Bottom