specialist88
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 1,141
- 617
Salam ndugu,
nina mdogo wangu alimaliza form four mwaka 2006,akapata matokeo yafuatayo:-
Civics-B,
Kisw-D,
English-D,
History -C,
Chem-B,
Bios-B,
Agriculture Science-C,
Geog-D
Math-F.
Alichaguliwa combination ya CBA yaani Chemistry,Biology and Agriculture Science.
Matokeo yake ya form six kwa mwaka 2009 yakawa kama ifuatavyo:-
Chem-E,
Bio-E,
Agr Sc-D,
Gs-S,
BAM-F.
Kwa matokeo hayo akàwa amepata Div 3:14
Dogo hakupenda matokeo,aliona kama Science hamkubali,akaamua kutafuta chuo akasoma BBA.
★★
Sasahivi dogo anataka kurudi sayansi na anataka kusomea degree ya Physiotherapy au kusomea degree ya ufamasia....
Swali, kwa matokeo yake hapo juu,anaweza kupata admission kwa kozi hizo za Ufamasia au Physiotherapy?
Chuo gani wanaweza kumchukua kwa hapa Tz....
Natanguliza shukrani na karibuni kwa ushauri na msaada wakujenga.