Anataka kunitumia?

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Jamani eh, huyu dada kakorofishana na mpenzi wake kwa sababu wanazozijua wao (seems mshikaji kamcheat!). Mshikaji anajaribu kumbembeleza lakini mdada bado ana hasira na amemwambia amepata mpenzi mwingine. Huyu mdada kaniapproach ananiomba nimtumie sms za mapenzi na kumpigia simu wakati yuko na mpenzi wake ili amkomeshe. Kiukweli mimi sijifeel comfortable kufanya hivyo na nahisi kama huyu dada anataka kunitumia kwa interest zake. Nimemwambia naona ugumu kufanya hivyo kwa sababu sina feelings nae na hatujazoeana kihivyo. Matokeo yake dada kashea baadhi ya hasira alizo nazo kwangu. Nimfanyeje ili anielewe?
 
Yaelekea nawe unamtaka, kukukasirikia kwa kukataa upumbavu wake ndio unatuletea tukushauri? Hapa hakuna ushauri zaidi na kumuacha na upumbavu wake. Au mwambie kwanza ule kipaja ndio umtekelezee hitaji lake!

Bazazi ni Bazazi!
 
Kijana ajira ni ajira na ukitekeleza hiyo kazi basi utalipwa! Au pengine utamsaidia msichana kwa kuonekana kuwa kuna mtu anamjali hivyo mjamaa atangangania. Msaidie tu lakini usitumie namba yako huenda mambo yakakurejea wewe.
 
Mwambie atafute simu ambayo unaiset kila baada ya mda fulani inatuma meseji yenyewe hivyo aziandae na mda ukifika atapata msg akiwa na jamaa yake, la sivyo ni kutafutiana RB mjini
 
Kula kitu kwanza!

Jamani eh, huyu dada kakorofishana na mpenzi wake kwa sababu wanazozijua wao (seems mshikaji kamcheat!). Mshikaji anajaribu kumbembeleza lakini mdada bado ana hasira na amemwambia amepata mpenzi mwingine. Huyu mdada kaniapproach ananiomba nimtumie sms za mapenzi na kumpigia simu wakati yuko na mpenzi wake ili amkomeshe. Kiukweli mimi sijifeel comfortable kufanya hivyo na nahisi kama huyu dada anataka kunitumia kwa interest zake. Nimemwambia naona ugumu kufanya hivyo kwa sababu sina feelings nae na hatujazoeana kihivyo. Matokeo yake dada kashea baadhi ya hasira alizo nazo kwangu. Nimfanyeje ili anielewe?
 
Jamani eh, huyu dada kakorofishana na mpenzi wake kwa sababu wanazozijua wao (seems mshikaji kamcheat!). Mshikaji anajaribu kumbembeleza lakini mdada bado ana hasira na amemwambia amepata mpenzi mwingine. Huyu mdada kaniapproach ananiomba nimtumie sms za mapenzi na kumpigia simu wakati yuko na mpenzi wake ili amkomeshe. Kiukweli mimi sijifeel comfortable kufanya hivyo na nahisi kama huyu dada anataka kunitumia kwa interest zake. Nimemwambia naona ugumu kufanya hivyo kwa sababu sina feelings nae na hatujazoeana kihivyo. Matokeo yake dada kashea baadhi ya hasira alizo nazo kwangu. Nimfanyeje ili anielewe?

Mpotezee 2 hana la maana la kuongea huyo
 
....balozi, achana nae huyo....mbona anataka kukufanya malapa ya chooni mwisho mlangoni?....

Pse dnt! siku wakipatana, atakutukanisha unamuharibia 'nyumba' yake...usijesutwa bure kamanda, na umri huo dahh...
Ignore her.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom