Anataka kunikimbia....kisa....eti simfikishi kilimani!

Acha uongo ww si ndo ulikuja na mbweche ya demu wako sijui kubwa,ukasema yy anafurahia na ukitaka kumwacha analia?kama nimekosea soory
 
Wewewewewe unakibiowa mchana kweupe kimbia kabisa hapo
Kifupi ni kuwa hakutaki na tafuta pengine
Maana kama hataki kuguswa sehem maalumu na bado anakubeza kuwa hujui kitu waendelea kufanya nini kwake
chapa mwendo haraka

lkn tunaaminiana sana. na anaonekana ananipenda sana tena mno.
 
Acha uongo ww si ndo ulikuja na mbweche ya demu wako sijui kubwa,ukasema yy anafurahia na ukitaka kumwacha analia?kama nimekosea soory

ni kweli kabisa.
lakini tatizo kubwa ndo hilo anadai kilimani simpandishi eti napanda peke yangu, kwamba mi ni mbinafsi
 
kwa hiyo nifanyeje?

Unaibiwa wacha kung'ang'ania kitu ambacho hakikufai
tafuta wa size yako na anayeendana na wewe kwa kila kitu usitafute umaarufu wa kukaa juu yake one hour and a half wakati huna unachokifanya na unamwachia shombo lako tuu
 
Mkuu mi sio mbishi ila yeye ndo mbishi, manake nimejaribu kumsoma maeneo yake muhimu, lakini ukiyagusa hayo tu basi anakutia ngumi na inakuwa purukushani yani hadi balaa, hataki kabisa nimguse maeneo hayo, yani hana ushirikiano kabisa.

Hautakiwi kugusa mangi, tomasaa!!!!!
 
Wewewewewe unakibiowa mchana kweupe kimbia kabisa hapo
Kifupi ni kuwa hakutaki na tafuta pengine
Maana kama hataki kuguswa sehem maalumu na bado anakubeza kuwa hujui kitu waendelea kufanya nini kwake
chapa mwendo haraka

nikwel wapo wanawake wasiopenda kuguswa hizo sehemu zao,...
 
Walau wewe umenisaidia kueleza ukweli. kwa hiyo nifanye nini. na mi nilivyogundua ndo nakomalia hapo hapo yani hadi inakuwa varangati. nilipatia sikumoja tu yani hadi nilihisi amezimia.
 
Wewe unaonekana sasa umsanii......... unachezea akili za watu hapa JF.
Wakati mwingine uje na hoja zenye mashiko
 
Unaibiwa wacha kung'ang'ania kitu ambacho hakikufai
tafuta wa size yako na anayeendana na wewe kwa kila kitu usitafute umaarufu wa kukaa juu yake one hour and a half wakati huna unachokifanya na unamwachia shombo lako tuu

Bado nampenda
 
Acha uongo ww si ndo ulikuja na mbweche ya demu wako sijui kubwa,ukasema yy anafurahia na ukitaka kumwacha analia?kama nimekosea soory

ndiyo huyu! jamaa mkurupukaji kinoma! yani muda wote huu uliopotea hujajipanga tu ndugu yangu? rudi tena kajipange!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom