Anataka kumwoa mdogo wa mke wake.

smati

Senior Member
Dec 24, 2010
149
5
naomba mawazo, kuna ndugu kafiwa na mke wake, na mdogo wa mke wake amekuwepo hapo toka akiwa mdogo. Sasa baada ya kufikilia ameamua amwoa huyo mdogo wake ili familia isiyumbe, wala watoto kunyanyasika. hivi hili limekaaje

.
 
We bwana mdogo umemaliza homework kweli na kwanini uko macho saa hizi na kesho ni shule ? just kidding ok ? kujibu swali lako hii ipo kwenye mila za watu wengi na mara nyingi ni kwa kuwa inahisiwa mama mdogo atawatunza watoto wa dada yake vizuri kuliko akiletwa mama wa kambo wa kutoka nje.
 
hee,he,hee!! Baada ya homeweki, na mother akisha egesha, tunaibia kidogo hapa, au siyo.
 
Amuowe tu hata mama ya mke wake akitaka amuowe kwani kuna sheria inakataza?

Ikiwa mapadiri wamekatazwa kuoa na wanajidaai wameoa (Slaa) na wanachukuwa wapili (mke wa mtu) sasa huyo anaetaka kuoa ndugu ya dada ke anangoja nini? anataka mashahidi? aowe hata mama wa mkewe mimi ntakuwa shahidi.
 
Inaruhusiwa hakuna ubaya si kifo kimewatenganisha!!! nimeowahi ona hiyo sehemu, lakini hyo kaka nae haoni huyo shemejie kama mwanae jmni!
 
Inaruhusiwa hakuna ubaya si kifo kimewatenganisha!!! nimeowahi ona hiyo sehemu, lakini hyo kaka nae haoni huyo shemejie kama mwanae jmni!

Hata mwanae aowe tu, kwani kuna sehemu inakataza katika bibilia? mbona wale walimbaka baba yao wakati kalala?
 
Amuowe tu hata mama ya mke wake akitaka amuowe kwani kuna sheria inakataza?

Ikiwa mapadiri wamekatazwa kuoa na wanajidaai wameoa (Slaa) na wanachukuwa wapili (mke wa mtu) sasa huyo anaetaka kuoa ndugu ya dada ke anangoja nini? anataka mashahidi? aowe hata mama wa mkewe mimi ntakuwa shahidi.

Umeolewa????? au unavizia Mume wa dada yako:frog::smile-big:
 
naomba mawazo, kuna ndugu kafiwa na mke wake, na mdogo wa mke wake amekuwepo hapo toka akiwa mdogo. Sasa baada ya kufikilia ameamua amwoa huyo mdogo wake ili familia isiyumbe, wala watoto kunyanyasika.

Je hili limekaaje.

Kama ameshaamua kumwoa mke wa mdogo wake, wewe ukijua imekaaje itasaidia kuvunja au kujenga.

Ivuga you are beyond the limits. just dont go there. Please retrieve that piece.
 
Hata mwanae aowe tu, kwani kuna sehemu inakataza katika bibilia? mbona wale walimbaka baba yao wakati kalala?

Naona upo katika zile bidii zako za kuhamisha hoja iwe ya kidini zaidi, tumeshalitambua hilo. Ni vema watu wakupuuze.
 
aoe fasta tena waje kwangu ntawafungisha ndoa mara moja(((hapa ntaulizwa nafanya kazi gani na niko wapi) kisheria hakuna kifungu kinachomnyima kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971. mfano halisi kama mwamkumbuka aliekuwa makamu mkuu wa chuo kikuu UDSM kabla ya aliepo hivi sasa(simtaji jina) kaoa mtu na mdogo wake.dada mtu hakuzaa hivo akamruhusu huyo boss amchukue mdogo wake na wamezaaaaa.kwa hili kisheria ipo wrong kwani bado yupo hai lakini naamini pia hajafunga nae ndoa kwa vile haruhusiwi lakini alichokuwa anakitafuta ni mtoto na kapata. Kwa hili la huyu bwana ruksaaaa tena na kadi alete.
 
Back
Top Bottom