Anatafutwa!

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
Anaitwa Yummy mara ya mwisho alivaa gauni lenye rangi mbili nyeusi na nyeupe naambatanisha picha yake, iliyopigwa muda m
Kim-Kardashian-3.jpg
fupi kabla hajatoweka, picha hii ilipigwa wakati akiingia club na baada ya hapo hatujui wapi alipoelekea! yeyote mwenye taarifa tafadhali atume hapa chit chat.
 
Tangaza dau mkuu huenda yuko mahali saa hizi ametinga kanga moko anamtengenezea smbdy breakfast.
 
Anaitwa Yummy mara ya mwisho alivaa gauni lenye rangi mbili nyeusi na nyeupe naambatanisha picha yake, iliyopigwa muda m
Kim-Kardashian-3.jpg
fupi kabla hajatoweka, picha hii ilipigwa wakati akiingia club na baada ya hapo hatujui wapi alipoelekea! yeyote mwenye taarifa tafadhali atume hapa chit chat.

We KARIA wewe acha mambo yako yaani ulikua umelewa kiasi kile mpaka ukapoteza dira!!!!pole weeee
 
Last edited by a moderator:
We KARIA wewe acha mambo yako yaani ulikua umelewa kiasi kile mpaka ukapoteza dira!!!!pole weeee
bp10.jpg

Pamoja na jitihada zangu zote za kukulinda na kukupa ulichohitaji! Yummy ulinitoka kweli we chiboko!
 
Last edited by a moderator:
NicoleScherzinger2.jpg

Nampenda zaidi Yummy anavyonibembeleza kwa kuniimbia nyimbo nzuri na kwa hisia kali!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom