Anatafutwa

Jpili atakuwa jimboni kwa Kawambwa kwenye ile familia ya waganga maarufu akina Maarifa anatakiwa kwenda kuvunja nazi na kuoga damu ya kondoo ili kijiwe kitulie, ukimkosa hapo msubirie Jtatu pale Tazara atakuwa njiani akienda kukwea pipa lake Airport tayari kwa kuzurula ughaibuni! Alishauriwa ile ndege isipumzike hata kwa siku mbili na somedays hata ikiwa kwenye testing hewani lazima naye awemo, ****** na uroda wa ndege tena ni kama mwanaye na biashara ya BWIBWI.


Duuuuuuuhhhhh,......Jamani mwacheni kumnanga kaka yetu kwani hii sasa zaidi ya aalivyo
 
Niko hapa mrisho jakaya kikwete mmmmh hahahahahah mmenichekesha hamchelewi kusema nakenua nyinyi hamcheki ,hamjampi hampandi ndege tena tanzania kuna watu wanakunywa chai sourth africa na lunch kenya na dinner tanzania mbna hamuwasemi mim tuuuuuuuuuuuuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom