Anatafutwa mwekezaji wa kujenga kitega uchumi hapa upanga dsm

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Wadau kwa wanaopenda kuwekeza kwenye aridhi . kuna uwanja mzuri upo katika eneo zuri la kibiashara hapa Upanga . ENEO lina Sqm 1894 unaweza kujenga apartment 2 kubwa ktka hili eneo au kitegauchumi kingine chochote , eneo lipo kisheria na nyaraka muhimu zote zipo. anayetaka kuona au kuangalia site plan tuwasiliane 0778 625039. na 0686 200 117.

Pia kuna eneo kama hilo Ada estate kinondoni nalo tunatafuta mbia , pia eneo la heka moja hapo kurasini karibu kabisa na bandari ya Dar es salaam hili linauzwa bei powa $ 700,000.
 
Back
Top Bottom