* Anatafutwa kuisaidia Tanzania *

Kiongozi huyo tumtafutaye atatoka miongoni mwetu; Lakini swali kubwa ni je tunataka kiongozi mkamilifu asiye na doa, au kiongozi ambaye ni mwadilifu ambaye anajitahidi kusafisha madoa yake mwenyewe na anajionesha jinsi alivyo msafi....?
 
kwenye bold ndiye twamtaka maana tukisema asiye na madoa basi Mungu pekee ila yule ambaye anazikabili changamoto kwa kujisahihisha na kurekebisha mfumo uweze kuwafaa walio wengi (wananchi)
 
Msanii.. you are getting the drift.. kwa sababu hofu yangu kubwa ya kila anapotajwa mtu humu watu ni rahisi kuonesha mapungufu yake kiasi kwamba inaonekana tunahitaji mtu kutoka mbinguni!
 
Unajua Mzee Mwanakijiji
imekuwa ugonjwa ktk Tanzania kuwa kila kiongozi afaaye anatoka ktk kabinet... Nadhani kwa hili kuna utata kidogo.
Tunataka kiongozi na si Mtawala
 
Labda ashuke malaika kutoka mbinguni!

Kwanini ashuke malaika, mbona tulikuwa na Nyerere ambaye alikuwa na 95% ya sifa hizo. Wananchi tukiwa makini na kusimama kidete kuhakikisha viongozi wanafanya kazi zao kama inavyotakiwa basi atapatikana tu, lakini lazima pia tuwe na katiba mpya ambayo itawapa wananchi na bunge nguvu zaidi katika maamuzi mbali mbali kuliko ilivyo sasa.
 
Ninachoona hapo MwanaJJ ni kwamba hizo ni sifa ambazo kila Mtanzania anapaswa kuwa nazo kabla kumpata huyo kiongozi.

Maana sioni ni kwa vipi apatikane mtu wa aina hiyo kutoka katika kundi liliooza eti aweze kuwabadili watu na wakafanikiwa.

Bunge letu limejaa waongo, wezi, wauwaji, majambazi etc
Mitaani kumejaa waongo, wezi, wauwaji, majambazi
Maofisini nako ni hao hao maana ndiyo wanaotoka mitaani, so what do you expect.

where will this person begin from?? I cannot see where? its like a candle burning at both ends.
 
Which means when you hold it hold it in the middle!
 
My dear, sometimes the fire does not get to middle when there are winds blowing, other times it gets to the middle even the remaining decent fabric of society gets consumed by it and THEN........ we are left with nothing.
 
so then as the fire rages both ends we are faced with an existential question should we keep our grip or let it loose.. knowing fully in either case the demise is ours!?
 
so then as the fire rages both ends we are faced with an existential question should we keep our grip or let it loose.. knowing fully in either case the demise is ours!?

the demise might be ours just to the extent... sooner than expected... the ballgame will be on.... the fight to survive.. the fight for.......
 
Viongozi waadilifu wako wengi. Tatizo ni % gani inatakiwa. Practically ukipata mtu 80-90% muadilifu, huyo anatosha kabisa. Kwani yeye akiwa hapo na wanaomzunguka au anaofanya nao kazi wako within that range mambo yanaenda.

Hakuna mwanadamu muaadilifu 100%, lakini based on kiongozi atafutwaye ni wa nini basi certain percentage can suffice.

Uadilifu unajengwa hivyo watu wakiamua kuujenga au kujirekebisha kuanzia hapo walipo, ninaamini yawezekana. Lakini na sisi tunaoongozwa hatuna budi kuwa waadilifu pia vinginevyo itakuwa kazi ya kujaza bahari kwa maji ya mto.
 
Mikandamizo ya Gigo bado inaendelea,
Japo shida anaendelea kuzi vumilia,
kamwe hatuwezi kuendelea,
bila nia.. Bila kudhamilia,
Ufisadi upo kwenye familia,
Huko tunakotokea,
sipo hapo walipo fikia,
Ni toka kwa wazazi walipo zaliwa,
nita watukana hata wakini fungia,
kamwe sipendi hoja za kujipendelea,
ipo siku..atatokea.. nitaweza..... mtanifagilia,
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom